Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Ss mtu mzima aka bilionea akikumiliki hataki uwe na mtu! Mi tuwe na mahusiano,unipe maisha nifanye yangu lkn ujue ipo siku nitataka kuwa na familia
[emoji3][emoji125]
Sasa kwani billionea atashindwa kukupea mtoto jamani?
 
Motie ndie alimpa vifaa vya digital masterjay.
Masterjay anasema motie alikuja studio akawa anatazama anafanya production, akamuuliza hivi vifaa vya ksasa bei gani, master akamwambia pesa ndefu, motie akataka kukua uktaka kufungua inahtajika ninj na nini, master akataja. Ikapita muda, siku moja akamwita ofsini kwake, master kufika pale anaona mzigo wa vifaa akawaza huyu kumbe alitaka fungua studio ya kisasa atufunike. Wakapiga story master ikafika muda wa kuaga, motie ndo akasema halafu kidogo nisahau, nimekuita ili uchukue mzigo wako huu.
Master anasema hakuamini.
Walikuwa na moyo wa kutoa hao jama mtu na baba yake
Rest very Well Motie
 
wewe unasema million 20tu!! mie nilihonga kiwanda chote cha kufyatua karatasi zimbabwe!! kwa kuwa tu nilitembea na kijana mmoja mwenye kismati hatare!! huyu baada ya mambo yetu yale ghafla nilipata tender ya kuiuzia serikali ya USA Maligahafi za Nuclear!

Advance nikapewa cash $USD tirion kumi na tano!...sasa kwa nini nisihonge na mie?? Mleta Mada inaonekana hujawahi kuhongwa/wala kuhonga damu mbaya hiyo!! yamkini ukoo wenu hamuhongwi!! Basi nakushauri usizae Binti!...atateseka mnoo!!

tena haka kadokii siju kako wapi siku hizi??
Kwa huu mwandiko, sijui hiyo tender ya USA ulishindaje tu.
 
Kakweli raha ya pesa kwa mwanaume uwahonge wanawake mpaka waseme baaasi, sema usje honga kama dallas wa wolper
Akili za kipuuzi kutoka kwa kijana mweusi wa kiafrika huko Njombe ndani ndani mwenye ka exposure na jf
 
Amini nakuambia.
Wanaume wenye pesa na majina huwa wanategwa na kuwindwa sana ila hawajui kuwa wanawindwa.

Mwanaume anaingia king mwenyewe, anaanza mchakato kumbe mtu ametegwa akategeka.
Hyo ni mijanaume milofa
 
Amini nakuambia.
Wanaume wenye pesa na majina huwa wanategwa na kuwindwa sana ila hawajui kuwa wanawindwa.

Mwanaume anaingia king mwenyewe, anaanza mchakato kumbe mtu ametegwa akategeka.
Naunga mkono hoja yako hii
Ni kweli wenye pesa wanawindwa
Wanawake wanajichomeka,na kama mwanaume mwepesi kufungua zip lazima unase

Ova
 
Back
Top Bottom