Motie ndie alimpa vifaa vya digital masterjay.
Masterjay anasema motie alikuja studio akawa anatazama anafanya production, akamuuliza hivi vifaa vya ksasa bei gani, master akamwambia pesa ndefu, motie akataka kukua uktaka kufungua inahtajika ninj na nini, master akataja. Ikapita muda, siku moja akamwita ofsini kwake, master kufika pale anaona mzigo wa vifaa akawaza huyu kumbe alitaka fungua studio ya kisasa atufunike. Wakapiga story master ikafika muda wa kuaga, motie ndo akasema halafu kidogo nisahau, nimekuita ili uchukue mzigo wako huu.
Master anasema hakuamini.
Walikuwa na moyo wa kutoa hao jama mtu na baba yake