Acha akili chafu hizo mdogo wangu, eti kwa nyie vidume ni bora aliyetoa mimba!! Labda kwa kua mmeshajidharau wenyewe kwa kujiita vidume badala ya Mwanaume, kwa maana Mwanaume aliyekamilika hawezi kumsifia mwanamke aliyetoa mimbaIla alietoa rubber yake si kama aliezaa mtoto kilo 5 huyu bado yadai kwa sisi vidume
Ucha ushamba inaonekana unatoka kijijini mwanza nililinganisha rubber ya alietoa mimba na aliezaa mtoto sasa wewe mshamba unaona nasifia alietoa mimbaAcha akili chafu hizo mdogo wangu, eti kwa nyie vidume ni bora aliyetoa mimba!! Labda kwa kua mmeshajidharau wenyewe kwa kujiita vidume badala ya Mwanaume, kwa maana Mwanaume aliyekamilika hawezi kumsifia mwanamke aliyetoa mimba
hahahaa na mimi nliwaza hivyo hivyoHajaolewa ndo maana anatuasa na wengine yasitukute yaliyomkuta yeye ya kushindwa kuolewa kisa hajaolewa
Si kila mshamba anatokea mwanza washamba wengine mnatokea katika akili za vijidume kama wewe, sisi watu watanga ukiona mwanaume anajiita kidume maana yake ni mwanaume mwenye kijidude kidogo kwaiyo lazima upwaye hata kwenye kijitundu cha puaUcha ushamba inaonekana unatoka kijijini mwanza nililinganisha rubber ya alietoa mimba na aliezaa mtoto sasa wewe mshamba unaona nasifia alietoa mimba
Sisi vidume tunapenda isiyopwaya wazee ndio wanapenda zilizozaaa
Kua mkubwa sio hoja
Hoja ni kuwa na akili ya kupambanua kilichozungumzwa lady
Mm ninautaalamu mwingine bila kutumia kidude ukijaribu utazimia kwa rahaSi kila mshamba anatokea mwanza washamba wengine mnatokea katika akili za vijidume kama wewe, sisi watu watanga ukioma mwanaume anajiita kidume maana yake ni mwanaume mwenye kijidude kidogo kwaiyo lazima upwaye hata kwenye kijitundu cha pua
Unajitambua mkuu nimekupenda buree... Una hekima na busaraNadhani mleta mada ume~exaggerate sana, hiyo probability ni ndogo mno, dunia ya sasa imebadilika. Kama mimi sijali kuoa binti mwenye mtoto, kuteleza kupo, kupata mimba kitu rahisi sana. Kama nampenda naoa tu, kua na mtoto haimaanishi ana tabia mbaya.
Na msiseme nalea mtoto wa mwanaume mwenzangu, so what? Kama dingi yake kamkimbia ntalea tu kama wa kwangu, tena ntajitambulusha kama mdingi kabisa, kwani napungukiwa nini, malezi ya mtoto hayanicost hata robo ya robo. Love is what makes family not blood, ingekua blood basi mke wako sio family.
Acha kumuhusisha Mungu kwenye zinaa kwani Mungu aliamulu kuzaa kabla ya ndoa hyo ni dhambi uzinzi,ndyo maana zamani mtoto akizaliwa kabla ya ndoa ilihesabika ni nuksi ktk familySidhani kama ana kosa kuzaa kabla ya ndoa, yote ni Mipango ya Mungu kwa vile alivyomjaalia
Single mama mawindoniUnajitambua mkuu nimekupenda buree... Una hekima na busara
Alf wanaopiga kelele mkuu hawana uhakika km hao baba ni wakuwazaa.... Usikute ni baba mwny hekma zake kavaa kiatu cha ubaba kumlea yy aliyetelekezwa na babake na kumuoa mamake aliekua sngo momReal men like you are rare in this world. God bless you exceedingly dear. Uko na busara nyingi sana. Hawa wanaume wanaopiga kelele kutukana single mothers hawajui ya kesho yatakuwaje. Wanaweza wakazaa watoto wa kike watakaokuja kuwa single mothers mbeleni. Mungu anaona kila kitu, acha waendelee kuwahukumu single mothers.
MmmmhWengi hawapendi single mother ulijizalia hovyo ruber inachoka ndio waume wanakula na kukimbia
Wanaume wengi wanapenda mke ambae hajazaa kwa kuwa rubber haijachoka kupwaya
Wengine tamaa zao za kupata maisha bora zinawaponza na kuzaa ktk umri mdogoMaisha huwa yanabadilika sana, na hakuna mwanamke mwenye ndoto za kuwa single mamy. Kwa hiyo ikishatokea huna budi kukubaliana na hali
Mchawi Huomba Mungu na Mtakatifu huomba Mungu vile vile sisi wote ni waja wake, na anataka tumuangalie yeye kwa Mema na mabaya tufanyayo! We mwenzetu ukishazini unatubia kwa nani?Acha kumuhusisha Mungu kwenye zinaa kwani Mungu aliamulu kuzaa kabla ya ndoa hyo ni dhambi uzinzi,ndyo maana zamani mtoto akizaliwa kabla ya ndoa ilihesabika ni nuksi ktk family
kwa bahati mbaya wanaume wenye viji ukucha kama chako hawana nafasi kwangu,Mm ninautaalamu mwingine bila kutumia kidude ukijaribu utazimia kwa raha
Kidushe ni sehemu ndogo hata ikipwaya haina neno mbora mbegu zimepanda shambani
Ukitaka kujua ufundi wa ziada ni pm utafahamu
Usimwage kuku kwenye mtama
Acha kumuhusisha Mungu kwenye zinaa kwani Mungu aliamulu kuzaa kabla ya ndoa hyo ni dhambi uzinzi,ndyo maana zamani mtoto akizaliwa kabla ya ndoa ilihesabika ni nuksi ktk family
Uyo utakae muoa hazai et... Hyo rubber inaeza kua buti ukashangaa kila mtu na maumbile yakeUcha ushamba inaonekana unatoka kijijini mwanza nililinganisha rubber ya alietoa mimba na aliezaa mtoto sasa wewe mshamba unaona nasifia alietoa mimba
Sisi vidume tunapenda isiyopwaya wazee ndio wanapenda zilizozaaa
Kua mkubwa sio hoja
Hoja ni kuwa na akili ya kupambanua kilichozungumzwa lady
MmmmmmHivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????
Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.
Jiangalie mkuu tena jiheshimuSingle mama mawindoni