Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha kuwa Kiswahili ndio lugha ya taifa. Akiongeza kwa kusema Taifa la Kenya kwa mujibu wa sheria linaitambua lugha ya kiswahili kama lugha yao ya taifa katika ibara ya 8