Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

Mh, mbona nilisikia kuwa lugha rasmi ni kiswahili na kiingereza?

Na kiswahili kuwa lugha ya taifa nilisikiaga tangu nikiwa mtoto mdogo
Katiba ndio inaongoza nchi na si vitabu vya shule au simulizi za utotoni...

Wewe ukiwa kazini ongea hata Kikongo, mtu akikuuliza mwambie Tanzania haina lugha Rasmi
 
Basi kwa kuwa english medium zimekuwa nyingi, kiingereza kiwe lugha kuu ya kiofisi na kiswahili kiwe option tu kama lugha rasmi
 
Basi kwa kuwa english medium zimekuwa nyingi, kiingereza kiwe lugha kuu ya kiofisi na kiswahili kiwe option tu kama lugha rasmi
 
Alaf Serikal ya CCM haoni umuhimu wa mapendekezo ya katiba ya Jaji Warioba - 2014.
Ambayo inarekebisha hili.

Na kwa mara ya kwanza Kiswahili kingelindwa na katiba .

Na sio kanuni na taratibu za kibunge na serikali kama ilivyo sasa.
 
KATIBA HAIWEZI KUANDIKA KILA KITU..... na sheria hapo haija
sheria zinawezaje kukidhana na katiba mama ,lugha ni nembo ya taifa kama ni nembo inakuwaje haijaandikwa kwenye katiba
kinzana na sheria
 
NADHANI ,hjaelewa nilichosema ,Kenya wameandika kabisa kwenye katiba sisi tumeandika wapi
KISWAHILI hapa kwetu imeandikwa sehemu mbalimbali, kwenye hotuba za viongozi na matamko rasmi.....!
Waziri Mkuchika amewahi kutoa mwongozo , Kwenye mitaala ni lugha ya kufundishia......
 
poa tu hata USA, ni juzi kati tu mwaka huu 2025 ndiyo D.Trump kwa exucutive order kaifanya english language kuwa lugha rasmi ya taifa la USA, kabla ya hapo walikuwa pia wanatumia english kimazoea tu ...
Kwa hiyo Trump akikojoa hata ww huku unajikojolea?
 
Kwa hiyo Trump akikojoa hata ww huku unajikojolea?

hapana, nilichomaanisha ni kwamba siyo big deal kiihivyo na wala siyo priority yetu kwa sasa, ila kwa sasa tunadili na tyranny hiyo ndiyo priority ya kwanza kwa sasa, hilo la kukifanya Kiswahili chetu kuwa lugha rasmi ya taifa linarekebishika mara moja tu ...
 
Back
Top Bottom