Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Mtindio wa ubongo.unakusumbuaHuyu Prof. alifanya vizuri kuwakimbia panyaroad wa chadema
Sitaki kukutukana ila nnauwezoMtindio wa ubongo.unakusumbua
Huyu jamaa ujuajiujuaji mwingi tu.prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha kuwa Kiswahili ndio lugha ya taifa. Akiongeza kwa kusema Taifa la Kenya kwa mujibu wa sheria linaitambua lugha ya kiswahili kama lugha yao ya taifa katika ibara ya 8
View attachment 3521410
kurasimishwa kisheria ndicho kinatakiwaAnataka nini yeye Safari? kuna madhara gani ya kuendelea kutumia kiswahili kimazoea? Kuna sheria inayotambua kama kichaga ni lugha ya wachaga?
sheria zinawezaje kukidhana na katiba mama ,lugha ni nembo ya taifa kama ni nembo inakuwaje haijaandikwa kwenye katibaKwa profesa wa sheria, Anaweza akawa alisoma siku nyingi sana kuhusu vyanzo vya sheria (Sources of Law). Ama kwa mapana yake Sources of Constitution (constitutional Law)
View attachment 3521441
Katika kuelezea hili, Sheria ina vyanzo vingi...... MIKATABA , MAAMUZI YA MAHAKAMA, MIKATABA na kadhalika...!
Sheria zetu, tamaduni zetu, zinatambua kuwa KISWAHILI ni lugha ya taifa