Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Lini Sheikh Alhad amekuwa Profesa ??Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.
Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.
Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
labda profesa wa machawaProf. Alhad Salum
mhiiiMwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.
Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.
Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Mjomba badilisha utambulisho wa huyo Alhad Salum kutoka kuwa Prof hadi kwenye cheo chake halisi cha Sheikh.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.
Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.
Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Yule sio shehe ni jamaa tuMjomba badilisha utambulisho wa huyo Alhad Salum kutoka kuwa Prof hadi kwenye cheo chake halisi cha Sheikh.
Wakati IGP Wambura aki-celebrate miaka 100 ya maisha ya baba yake, akumbuke wale walio chini ya miaka 20 alioona ni sawa kuwaua, akikatiza maisha yao asubuhi na mapema na kuona hu ulikuwa uamuzi na amri sahihi.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.
Yule sio sheheMjomba badilisha utambulisho wa huyo Alhad Salum kutoka kuwa Prof hadi kwenye cheo chake halisi cha Sheikh.
Bikira Maria mama wa Mungu, Mungu yupi huyo ambaye ana mama?
Tar 29.10 ,fika kanisani kwako ili tumalizane ili ,tukazike kama yale ya tar 29.10.2025
Sheikh ubwabwa, professor ubwabwa!Lini Sheikh Alhad amekuwa Profesa ??
Muuaji akifiwa ni stahili yake; hastahili kufarijiwa kwa namna yoyote ile! Faki zati sonofabitch!Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.