Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

Dominika ya leo nimesali na dada wa IGP na familia yake, sijaona dalili ya kufiwa
 
washangiliaji vifo bado hawajaanza kazi hiyo au?

R.I.P. Mzee wambura 🌹
 
uliza vyanzo vyako vzr, leo nimesali na dada wa IGP na familia ya dada ake, sijaona dalili za msiba, na Baba wa Igp anakaa Mikocheni,
 
Vipi wanahusika yamekwisha marikana? Nakuliza maana siku hizi ni mwendo wa kubakiziana, mara Chadema wanahusika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…