Hiyo criminals yako binafsi au ya sheria.How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Kerato kwa watani zangu wa Mara ni kiatu. Na kiatu ni kichafu kinachokanyaga kinyesi.1. Huyu ni mpumbavu mmoja tu aliyeshiba makande ya bukoba, akae na atulie, kwa nn asiseme na wengne waachiwe..
-profesa wa hela za migawo, zile za seth zmeisha anataka za ford foundation?
2. Lazima lissu ashughulikiwe, huyu anayejiita prof wa uchumi anajua ni madhara mangapi ya kiuchumi yalyopatkana kwa sababu ya kauli ya huyu mpuuzi eti atakinukisha?
3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?
4. Kama vp akakae gerezani badala yake, asijione kamanda akiwa uzeeni!
Atatekwa
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.
Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:
“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.
“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.
“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”
Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Anaweza, mbona alitoa maelekezo DPP awaachie wenye kesi za uhaini za oktoba 29, alitoa wapi mamlaka?How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Ungelikuwa mkweli, ungelitueleza Rais alitumia mamlaka gani kuwaachia watuhumiwa wengi wa uhaini walioshitakiwa kwenye kadhia ya uchaguzi ya Oktoba mwaka jana.How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Hilo jambo alishalitolea ufafanuzi kitambo, kwamba 'hana cha kupoteza'.Atatekwa
1. Huyu ni mpumbavu mmoja tu aliyeshiba makande ya bukoba, akae na atulie, kwa nn asiseme na wengne waachiwe..
-profesa wa hela za migawo, zile za seth zmeisha anataka za ford foundation?
2. Lazima lissu ashughulikiwe, huyu anayejiita prof wa uchumi anajua ni madhara mangapi ya kiuchumi yalyopatkana kwa sababu ya kauli ya huyu mpuuzi eti atakinukisha?
3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?
4. Kama vp akakae gerezani badala yake, asijione kamanda akiwa uzeeni!
Mizani yangu pamoja na maneno yako mazuri uliyoyanukuu hapo juu, imeshindwa kubalansi mantiki!Kitabu cha Mithali kinasisitiza sana juu ya suala la uaminifu na kusema kweli. Mungu anachukia uongo na anapenda wale wanaosema kweli.
Mathalani kupitia nukuu ya aya tofauti tunaweza kujifunza,
Mithali 12:22 hutuambia,
"Midomo ya uongo ni chukizo kwa Bwana, bali wao wasemao kweli wanampendeza."
Mithali 12:19 husema,
"Kinywa cha kweli kitathibiti milele, bali ulimi wa uongo ni kwa dakika moja tu."
Nayo Mithali 14:5 hutuambia
"Shahidi mwaminifu hasemi uongo, bali shahidi wa uongo hutoa uongo."
Mithali 20:7 nayo hutuasa
"Mwenye haki anatembea katika uadilifu wake; heri watoto wake baada yake!"
Kwa hiyo basi kupitia aya zilizonukuliwa hapo juu tunajifunza kuwa,
1. Kusema ukweli ni ibada, kwani ni kitu kinachompendeza Mungu zaidi kuliko utoaji wa sadaka
2. Kweli inaleta amani katika jamii inayothamini ukweli wenyewe.
3. Uongo unaharibu mahusiano ya watu, ufanisi wa kazi, na hata jina la mtu anayeukumbatia huo.
Ni vyema kuumbatia ukweli jinsi ulivyo hata kama utakuletea machungu moyoni mwako. Unafiki na uongo ukitamalaki katika maisha yako, anguko kuu laja upesi mbele yako.
Mharifu = Mhalifu3. Lisu n nan? Had aachiwe wakati yeye ni mharifu kama mharifu mwingne?
Ni vigumu kuwalaumu hawa wanaoweweseka, kana kwamba hawajui _wanyemshauri" ni mtu wa namna gani.“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”
Utaambiwa Samia kasema. kudai HAKI ni lazima utii sheria kama anavyoitambua Samia.Mharifu = Mhalifu
Chombo gani kimethibitisha uhalifu wake?
Anabusara Gani Tiba, wamekula pesa za Escrow Leo ndo anajifanya yupo upande wa pili, typical unafikiRaisi Samia atasikiliza ushauri huu wa busara? Tatizo la Samia ni kwamba ana kale kakitu wenzetu Wahehe wanaita "kidada"!
Nadhani yule chekibobu wa msoga ndiyo nguvu iliyo nyuma ya kuendelea kumshikilia TAL Keko.Kama ni kweli ametoa huu ushauri, basi ni ushauri mzito na uliobeba ujumbe mkubwa. Ningekuwa mimi ndiyo nimepewa huu ushauri, ningeufanyia kazi mara moja. Unaogopesha. Lissu siyo kiumbe wa kushindana naye hata kidogo.
Mmeshindwa kuthibitisha kuwa Lisu anayo makosa, by the way, mtu mmoja awezaje kuipindua serikali???... Serekali dhaifu kiasi cha kupinduliwa na kichwa ki 1 ??????How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Kesi ya ugaidi ya Mbowe ilimalizwaje?How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Huyo meno ya mamba anajifanya hajui tatizo. Wanatetea ugali.Kesi ya ugaidi ya Mbowe ilimalizwaje?
Na alivyotoka kizuizini tu akaenda ikulu
Maneno mazito sana haya kwa watu wanaotafakari.Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”
Kwamba Lisu kashikiliwa na Samia, sio sheria
Huwa wanaangalia na mtu wa kuteka mkuu...they have to assess first...the pressure will increase or decrease!?
Professor ni M-diplomasia wa kimataifa!