Ukisoma comments za huu uzi utabaini mambo mawili.Utaambiwa Samia kasema. kudai HAKI ni lazima utii sheria kama anavyoitambua Samia.
Sheria ambayo wengine wooote ni lazima waitii, isipokuwa Samia!
Mimi naunga mkono hoja Lissu kuachiwa.
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.
Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:
“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.
“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.
“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”
Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Mda utazungumza
R.I.P Ally Kibao, Humphrey Polepole
Atuwezi kuendekeza matusi kisa ukubali uvumilivu. Lissu atukani bali yeye anataka taharuki na vurugu basi jambo ambalo ata Kikwete asingerikubali kwakua alipwe dhamana ya kuilinda amani ya Taifa ili.Mimi naunga mkono hoja Lissu kuachiwa.
Rejea zama za kikwete
Aliwaacha wapinzani wakapiga kelele wee hadi wakachoka wenyewe.
Kikwete alitoboka?
Hapana.
Bado ni Rais anayependwa zaidi kuliko Marais wengine wote waliowahi kuongoza Tanzania.
Naamini wakitaka kumuachia lazima atatafutiwa namna tu, wanajua ana nguvu ya umma na anaweza kuitoa ccm madarakani, hivyo lazima watumie nguvu zote kumnyamazisha. Naamini washauri wa raisi ndio wanaweka ugumu kinamna namna ila raisi anaweza kumuachia hata leo.
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.
Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:
“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.
“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.
“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”
Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Wakati ombi la Anna Tibaijuka likitumia falsafa ya 4Rs ya Rais Samia kushinikiza kuachiliwa kwa Tundu Lissu, maridhiano ya kweli ni njia ya pande mbili. Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama ya Rufani kutokana na kauli zake za mwaka 2025, jambo linalofanya uachiliaji wake bila masharti kuwa mgumu kisheria.
Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili.
Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X, akichangia mjadala katika Makala iliyoandaliwa na BBC:
“Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili.
“Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa.
“Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.”
Soma pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani
Naamini wakitaka kumuachia lazima atatafutiwa namna tu, wanajua ana nguvu ya umma na anaweza kuitoa ccm madarakani, hivyo lazima watumie nguvu zote kumnyamazisha. Naamini washauri wa raisi ndio wanaweka ugumu kinamna namna ila raisi anaweza kumuachia hata leo.
Umma ni wananchi wale wanaoenda kwenye mikutano yakeHivi huyo umma mnaosema utatokea nchi gani? Ni jibu please
Yeye hajaongea habari ya udini ila wewe!... angesema mwingine sawa, sio haka kapumbafu!
MAMA TIBAIJUKA ANALALA NA KUAMKA NA UDINI TUU!
Amani ya Taifa limekua Chaka la wezi wa mali za Umma kujificha kwenye hicho kichakaAtuwezi kuendekeza matusi kisa ukubali uvumilivu. Lissu atukani bali yeye anataka taharuki na vurugu basi jambo ambalo ata Kikwete asingerikubali kwakua alipwe dhamana ya kuilinda amani ya Taifa ili.
Kikatiba iko hivyo, lakini kiuhalisia hali ikoje? Viongozi wa chama tawala hawaingilii mihimili mingine?How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Kujadili mtu ni rahisi kuliko kujadili hoja.Tibaijuka ni miongoni mwa watu ambao wakipewa uteuzi watanyanaza au kuanza kuisifia serikali kwa Kila jambo na pengine ni uwanja wake wa kujiosha kwa tuhuma zake zijulikanazo na zisizo.
Kwaufupi Tibaijuka siyo miongoni mwa wanaosimama upande wa Wananchi Ili Wananchi wanufaike bali ni wao wanufaike kupitia Wananchi.Mutanielewa badae
Pole sana.How can you release the Criminal? Tundu Lissu must be dealt with Law accordingly jambo analoweza kushauri ni expediency tuu. Kikatiba Rais hana Uwezo wa Kuingia Mhimili mwingine. And she is the professor?
Vipi alijibu hili swali?Anaweza, mbona alitoa maelekezo DPP awaachie wenye kesi za uhaini za oktoba 29, alitoa wapi mamlaka?
Kujadili mtu ni rahisi kuliko kujadili hoja.Anabusara Gani Tiba, wamekula pesa za Escrow Leo ndo anajifanya yupo upande wa pili, typical unafiki
DPP hakuna sehemu ambayo Rais alitumika kumuachia.Kesi ya ugaidi ya Mbowe ilimalizwaje?
Na alivyotoka kizuizini tu akaenda ikulu