Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm.
Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe kwa haraka kama anavyopelekwa ametolea mfano hii Kampuni iliwahi kuingia mkataba na Marekani Mwaka 2006 kuendesha bandari ya Marekani lakini bunge la Marekani ndio likaja kuvunja huo mkataba kupitia kura za wabunge ambao wakapiga mmoja mmoja na kura la jumla zikawa 62 kwa walikataa kwa 2 tu ndio walikubali sio kama tunavyofanya sisi kwa kuangalia ndio na hapana tunaweka ushabiki kwenye jambo linalogusa Maslahi ya Taifa
Akaongeza kuwa anampenda Sana Rais Samia ila kwa Hili sikubaliani nae