Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Attachments

  • Screenshot_20230620-095202.jpg
    Screenshot_20230620-095202.jpg
    49.4 KB · Views: 2
Tibaijuka ni miongoni mwa watu wanaoota kwamba mwaka 2025, kuna watanzania wajinga watamchagua yeye awe raisi wa nchi yetu, ndio maana haoni hasara kutumiwa na adui (Kenya), pamoja na wakwepa kodi bandarini kupambana dhidi ya serikali yetu na maendeleo yetu.
Mpingeni kwa hoja siyo kwa tuhuma hizo! Pamoja na kutumiwa na Kenya,je anachozungumza ni sahihi?
 
Back
Top Bottom