Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Nilisikiliza kipindi hicho na alifadhaishwa (nami nilifadhaika mno) kuonda vijana, Edo na aka mzee wa Kaliua, wakiwa hawajiamini hasa katika kutetea Taifa.
Sio hawajiamini bali wanaogopa. Kule insta wasafi waliweka clip yake akizungumzia ubovu wa mkataba, ghafla wakaifuta
 
Kupinga tu anapewa bilioni 2, kwani ana ushawishi gani nchini wakustahili ilo donge nono?.
Hata hivyo kwake hiyo ni hela ya mboga tu.
Viko vyanzo fulani kwenye gazeti viliashiria hivyo nilisoma soma juz kati
 

Attachments

  • Screenshot_20230620-095202.jpg
    Screenshot_20230620-095202.jpg
    49.4 KB · Views: 1
Halafu yeye mwenyewe ndio mwizi kupindukia
Halafu mrundi huyu, huyi ni adui wa tanzania tumpige vita
Ashukuru ule mfumo wa kipindi kile ndio uliombeba japo hakuwa na sifa zozote za kuwa kiongozi hata wa kata.

Ila kwa sasa asahau, maana mfumo wetu wa leo uko makini sana kuliko wakati wowote uliyopita. Ndio maana kila kinachopangwa kwa faida ya wananchi na nchi huwa kinafanyika bila kujali kelele za kina Tibaijuka na vibaraka wenzake.
 
Tibaijuka ni miongoni mwa watu wanaoota kwamba mwaka 2025, kuna watanzania wajinga watamchagua yeye awe raisi wa nchi yetu, ndio maana haoni hasara kutumiwa na adui (Kenya), pamoja na wakwepa kodi bandarini kupambana dhidi ya serikali yetu na maendeleo yetu.
Mmmm, Mama wa vijisenti huyu tulishamshtukiaga kitaaaambo. Si alisema siasa ni vitina tupu, haitaki tena.
Hawa wa EPA hatuwataki tena. Tujaribu mafisadi wengine.
 
Jikite kwenye alichozungumza
Alichoongea ni kiroja tu, wala hakuna hoja hapo.
Yeye na wapiga kelele wenzake ndio wale waliokuwa wananufaika na mfumo mbovu wa bandari.

Walikuwa wanapitisha madawa ya kulevya na biashara zao au mizigo yao mbali mbali bila kulipa kodi.

Wengine walikuwa wanafungua spea za magari na vitu mbali mbali vilivyokuwa bandarini na kwenda kuviuza huko wanapojua wao.

Kila raisi alieingia alijaribu kubadilisha uongozi wa bandari, lkn mambo hayakubadilika yaliendelea kuwa yale yale kutokana na kamfumo kao walikokatengeneza na wenzao wa bandari.

Sasa lazima wapige kelele kwa kujifanya wanauchungu bandia na nchi yetu, huku rohoni wanajua kwamba ikiwa kampuni mpya itaingia kazini basi mipango yao ya wizi bandarini itakuwa imekufa rasmi.

Hahahaha eti leo Tibaijuka anatuonea uchungu watanzania 👇 Yale yale ya kutuambia tumchague Lowasa kuwa raisi wetu na wakati mlikuwa mmeshatuambia kuwa mnaushahidi wa kutosha kuwa yeye ni fisadi.
 

Attachments

  • Screenshot_20230620-095202.jpg
    Screenshot_20230620-095202.jpg
    49.4 KB · Views: 2
Mmmm, Mama wa vijisenti huyu tulishamshtukiaga kitaaaambo. Si alisema siasa ni vitina tupu, haitaki tena.
Hawa wa EPA hatuwataki tena. Tujaribu mafisadi wengine.
Huyu mama kuna watu wanamdanganya kuwa akichukua fomu watamsaidia kupitishwa kuwa mgombea uraisi, ili wamlie vile vichenji vilivyobaki kwenye ile hela ya mboga mboga 🤣🤣🤣.
 
Mimi nilimsikiliza kwa kiasi, kwenye mkataba mengi yamefichwa ambayo sisi wananchi wa kawaida hatujaambiwa
Hakuna kilichofichwa mkuu, ni fitna tu at work ndio zinazofanyika sasa hivi ili kurahisisha kazi ya adui (kenya) ambae hapendi kuona bandari yetu inaenda kufanyiwa marekebisho makubwa ya kimfumo na kiutendaji.

Kenya wanajua fika kwamba bandari yetu ikifanikiwa kubadilishiwa mfumo wa kiutendaji na kuendaana na kasi ya mahitaji ya wateja wetu kutoka katika nchi za Congo, Rwanda, Zambia Burundi na Uganda basi yeye bandari yao ya lamu na Mombasa zitageuka kuwa masoko ya kuuzia samaki tu.

Ndomaana wameungana na wakwepa kodi wetu, pamoja na wale waliokuwa wanaitumia bandari yetu kupitishia madawa ya kulevya kupambana na serikali ili kuhakikisha huu mkataba haukubaliwi ili bandari iendelee kuwa shamba la bibi kwa faida za wapitisha madawa ya kulevya, wakwepa kodi, wauza vifaa vya magari yaliokwama bandarini.

Lakini pia kuhakikisha kuwa kenya inabaki kuwa nchi yenye kukusanya mapato mengi kupitia bandari kuliko nchi nyingine yoyote katika ukanda mzima wa East Afrika counties.

Kama una muda soma uzi wa FaizaFoxy umeeleza yote yaliopo katika mkataba.
 

Attachments

  • Screenshot_20230621-115200.jpg
    Screenshot_20230621-115200.jpg
    45.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom