Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Umezunguka, tofauti na hoja yangu. Raisi anapotoshwa vipi na yeye akakubali? Hapa ndio hoja yangu ilipoAisee siasa ni kitu cha ajabu. Nyuma ya pazia kuna kundi la watu lililokupa support kabla hujawa na hicho cheo.
Hawa watu mara nyingi huwa ni remote control kwako pale unapokuwa na cheo flani. Ndiyo maana Jpm aligombana na wapambe wengi sana pindi alipowabadilikia.
So kama Mama hana roho ngumu ya kukubali wapambe wamchukie kwa ajili ya wananchi huwezi mlazimisha.
Kama anakubali sababu ya fadhila kama unavyosema, basi hapo hajapotoshwa bali analipa fafhila. Hilo ni tatizo lake