Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm.

Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe kwa haraka kama anavyopelekwa ametolea mfano hii Kampuni iliwahi kuingia mkataba na Marekani Mwaka 2006 kuendesha bandari ya Marekani lakini bunge la Marekani ndio likaja kuvunja huo mkataba kupitia kura za wabunge ambao wakapiga mmoja mmoja na kura la jumla zikawa 62 kwa walikataa kwa 2 tu ndio walikubali sio kama tunavyofanya sisi kwa kuangalia ndio na hapana tunaweka ushabiki kwenye jambo linalogusa Maslahi ya Taifa

Akaongeza kuwa anampenda Sana Rais Samia ila kwa Hili sikubaliani nae
Sifa ya akina mama jambo likiwa gumu huwa wanazira,au wanalia na ndio maana MUNGU Akawapa wanaume uongozi na ulinzi,hapa ninachokiona mtu ameizira Bandari yetu na amesema potelea mbali liwalo na liwe,Sasa wapumbavu wasio na AKILI badala ya kushauri wanapongeza kila uchao na mbaya zaidi Wanaume ndio wengi kwenye kupongeza,hii ni hatari sana inaonyesha wanaume wengi hawajaona mbele zaidi nn kitatokea ,wanaume wa siku hizi ni wa hovyo sana.
 
Tibaijuka ni miongoni mwa watu wanaoota kwamba mwaka 2025, kuna watanzania wajinga watamchagua yeye awe raisi wa nchi yetu, ndio maana haoni hasara kutumiwa na adui (Kenya), pamoja na wakwepa kodi bandarini kupambana dhidi ya serikali yetu na maendeleo yetu.
Ovyo kweli
 
Samia ana nini cha kumzidi Tibaijuka?
 
Hata sisi sio kwamba tunamchukia HAPANA

TUNAMPENDA ila kwa hili HAPANA hatuko nae.

Na wale wapuuzi wa wachache wanaosifia Kila lifanyawalo na wao tawilie tu.

Sio kwamba tunapinga kila kitu HOW COMES unaingia mkataba unakufunga wewe mwenyewe na mali zako mkataba wa MANGUNGO. na wenye chembe za kibaguzi kwa upande mmoja wa MUUNGANO

sauti za watu ndio sauti za MUNGU

vox Populi vox DEI
 
Tibaijuka ni mtu wa ovyo sana. Huyu si ndiye aliyehongwa pesa za ESCROW halafu akajidai eti ni hela ya mboga tu? Mbona alipokuwa kwenye kundi la mafisadi hatukumsikia akiongea? Uzalendo na nchi hii huyu kautoa wapi?
Sasa na nyie mshahongwa na DP world
 
Tibaijuka ni miongoni mwa watu wanaoota kwamba mwaka 2025, kuna watanzania wajinga watamchagua yeye awe raisi wa nchi yetu, ndio maana haoni hasara kutumiwa na adui (Kenya), pamoja na wakwepa kodi bandarini kupambana dhidi ya serikali yetu na maendeleo yetu.
Jibu hoja
 
Samia ana nini cha kumzidi Tibaijuka?
Raisi Samia anamshinda Tibaijuka namna ya kutumia kodi zetu. Ona hapo chini 👇

Wakati raisi Samia anatumia mamilioni ya kodi zetu..
1. Kujenga shule mbali mbali ili watoto wetu wasome.

2. Kujenga hospitali mbali mbali ili kina mama wajawazito, wazee na watoto wapate tiba.

3. Kujenga barabara ambazo hazikujengwa au kumalizwa na tawala zilizopita.

4. Kumlipa Lisu mamilioni yake.

5. Kumalizia miradi mikubwa iliyoachwa na mtangulizi wake.

6. kulijenga upya soko la kariakoo nk.

Kwa upande wa Tibaijuka kikubwa alichofanya katika nchi hii ni kuiba mamilioni ya kodi zetu na kwenda kununua mboga mboga za kula na familia yake, kama alivyosema mwenyewe kwa mdomo wake.

Ila kwa mtu unaeshikiwa akili na wanasiasa uchwara kamwe hauwezi kuona utofauti uliyopo kati ya raisi Samia na Tibaijuka mpaka pale anaekushikia akili akwambie utofauti wao.
 
If trust is lost, its very difficult to recover.

Hapa Samia kuna watu wanampotosha
Mimi swali langu kwa mnaosema hivi, ni je yeye kama raisi hajui kuwa anapotoshwa? Wewe ukiwa mzazi mtoto wako kila mara anakuja kukupotosha, tatizo ni mtoto au wewe mzazi?
 
Aisee siasa ni kitu cha ajabu. Nyuma ya pazia kuna kundi la watu lililokupa support kabla hujawa na hicho cheo.

Hawa watu mara nyingi huwa ni remote control kwako pale unapokuwa na cheo flani. Ndiyo maana Jpm aligombana na wapambe wengi sana pindi alipowabadilikia.

So kama Mama hana roho ngumu ya kukubali wapambe wamchukie kwa ajili ya wananchi huwezi mlazimisha.
 
Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm.

Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe kwa haraka kama anavyopelekwa ametolea mfano hii Kampuni iliwahi kuingia mkataba na Marekani Mwaka 2006 kuendesha bandari ya Marekani lakini bunge la Marekani ndio likaja kuvunja huo mkataba kupitia kura za wabunge ambao wakapiga mmoja mmoja na kura la jumla zikawa 62 kwa walikataa kwa 2 tu ndio walikubali sio kama tunavyofanya sisi kwa kuangalia ndio na hapana tunaweka ushabiki kwenye jambo linalogusa Maslahi ya Taifa

Akaongeza kuwa anampenda Sana Rais Samia ila kwa Hili sikubaliani nae
Maoni ya Tibaijuka yaheshimiwe.
 
Mama Samia hasomi, haulizi yeye wapambe wake wameweka maslahi yao mbele.
Usalama wa Taifa uko hatarini.
 
Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm.

Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe kwa haraka kama anavyopelekwa ametolea mfano hii Kampuni iliwahi kuingia mkataba na Marekani Mwaka 2006 kuendesha bandari ya Marekani lakini bunge la Marekani ndio likaja kuvunja huo mkataba kupitia kura za wabunge ambao wakapiga mmoja mmoja na kura la jumla zikawa 62 kwa walikataa kwa 2 tu ndio walikubali sio kama tunavyofanya sisi kwa kuangalia ndio na hapana tunaweka ushabiki kwenye jambo linalogusa Maslahi ya Taifa

Akaongeza kuwa anampenda Sana Rais Samia ila kwa Hili sikubaliani nae
Kumbe pro pesa tiba haijui ccm wala serikali ya Tanzania!
 
Huyu ndiye mwanamke wa kwanza mwenye akili na ufahamu kupinga mambo ya Rais Samia (mwanamke mwenzake) waziwazi na mchana kweupe...

Wanawake wengine ni kama mazuzu hivi kwani inadhani uongozi bora ni jinsia ya "uanamke" wakati uongozi bora ni akili na uelewa...!

Kwa issue ya mkataba wa bandari zetu, huyu mwanamke katukosea sana watanganyika. Akataliwe na apingwe Kwa nguvu zote na Kila Mtanganyika..!!
 
Back
Top Bottom