Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Endeleeni kujidanganya huko makanisani kwenu. Mtake msitake Mama tunaye hadi 2030 inshaallah.Aanguke mara ngapi????
Mpaka hatua hii lilipofikia suala hili, tayari limeshamwangusha, na hawezi tena kuinuka kwani tayari ameshachelewa. Hakupenda kusikiliza ushauri kutoka kwa wenzake mapema.
Mithali 29: 1
"Aonywaye mara nyingi, naye hushupaza shingo, huvunjika ghafla na hakuna dawa tena"