Tibaijuka ni miongoni mwa watu wanaoota kwamba mwaka 2025, kuna watanzania wajinga watamchagua yeye awe raisi wa nchi yetu, ndio maana haoni hasara kutumiwa na adui (Kenya), pamoja na wakwepa kodi bandarini kupambana dhidi ya serikali yetu na maendeleo yetu.