Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwako kwenda chooni. Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachelea, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
search humu utaonaKwani kasemaje wengine tuko Ethiopia na timu!
Retired huwa mpuzi puuzi fulani asiyejitambuaUsitusemee sisi wenye akili semea wajinga na chawa wenzako. Sisi wote wenye akili tunapinga mauaji na utekaji na yeyote anayepinga hayo mambo yupo upande wetu bila kujali jana alikuwa wapi.
Wewe huna na wala hutakuwa na mamlaka ya kumpangia mtu cha kusema.
Yaani mtu asitumie haki yake ya kikatiba kweli??Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
Acha aongee, muhimu asivunje sheria.Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
Tatizo huwa unajiona upo kipanga wakati ni kilaza, ona unayoandikaKama mimi ni mpuuzi. fine, basi na mama yako follows suit maana tumekuzaa wote!
Naunga mkono hoja Swali kwa Viongozi/Wanasiasa Wetu: Kama Waliuona Udhalimu wa Awamu Iliyopita, na Wakaunyamazia, Is it Right Kuusema Sasa au Waendelee Kunyamaza?.Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
Anaongea na jamii, na sisi tunamjibu. Hakuna anayemkataza kuzungumza, azungumze lakini tutamjibu kuonesha undani wake na kuwa she is not talking to fools!! Asiji potray as mtetea haki wakati alishiriki kukandamiza haki! Never!Yaani mtu asitumie haki yake ya kikatiba kweli??
Hivi humu ndani mbona kuna watu wana mawazo yenye mushkeli sana
Sasa mtu akiongea wewe unaumia nini?
Tupe link mkuu jana alisemajeHUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA
Naunga mkono hoja Tena si ndio aliyekuwa anasema ni vihela vya mbogaWenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA
KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
Mzee wa Msonga naye KIMYAAAWenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA
KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA
KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
Ndiyo maana ya ile kaulimbiu ya kazi iendelee.Utawala huu ni muendelezo wa utawala dhalimu wa Magufuli
Huyo mpuuzi ni apuuzwe tuu atasema mwisho atakachoka ataacha.Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!
Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA
KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
nHUU NI UJINGA. SO KAMA MTU ALIKOSEA AKAJA AKAGUNDUA AMEKOSEA AENDELEE KUNYAMAZA? NYIE HAMNA AKILI. KAMA NI HIVYO HATA MBINGUNI HAKUNA ATAKAYEENDA. WAACHENI WATU WAZUNGUMZE NDO DEMOKRASIA. NA KILA MTU ANA UHURU WA KUTOA MAWAZO YAKE. KAMA HUYAPENDI GO SHOVE THEM UP YOUR ARSE. 😁
Aliapa kuitetea kitumbua chake wakati huo,Sasa moyo unauma!Mwacha apasuke ni wakati wa ukweli kuuujua,Nape hakuwa muongo!Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!