Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

Ministerial responsibility: collective and individual.

Huwezi kuwa ndani ya serikali halafu ukawa unaikosoa serikali hiyo hiyo.

Utakuwa huna akili kwa sababu kimaadili hairuhusiwi.

Kama ni hoja kinzani unaitoa kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri na siyo nje.

Kwa hiyo, Tibaijuka yupo sahihi. Asingeweza kuukosoa msimamo wa serikali kwa wakati ule akiwa Waziri.
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwako kwenda chooni. Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachelea, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
20240915_050646.jpg
 
Usitusemee sisi wenye akili semea wajinga na chawa wenzako. Sisi wote wenye akili tunapinga mauaji na utekaji na yeyote anayepinga hayo mambo yupo upande wetu bila kujali jana alikuwa wapi.

Wewe huna na wala hutakuwa na mamlaka ya kumpangia mtu cha kusema.
Retired huwa mpuzi puuzi fulani asiyejitambua
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
Yaani mtu asitumie haki yake ya kikatiba kweli??

Hivi humu ndani mbona kuna watu wana mawazo yenye mushkeli sana

Sasa mtu akiongea wewe unaumia nini?
 
Acha aongee, muhimu asivunje sheria.
Ni haki yake kidemokrasia(ambayo ndiyo tunaipambania sana iwepo hapa nchini).

Huenda ameshajua makosa yake, na njia pekee ya kutubu na kuupa moyo wake amani ni kuyasema hadharani yale anayoona hayako sawa.
Tutambue pia hii vita ya kupambana na wauaji na watesi ni ya watanzania wote wenye nia njema kwa taifa hili sasa bila kujali itikadi ya mtu wala historia yake.
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye,ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!
Naunga mkono hoja Swali kwa Viongozi/Wanasiasa Wetu: Kama Waliuona Udhalimu wa Awamu Iliyopita, na Wakaunyamazia, Is it Right Kuusema Sasa au Waendelee Kunyamaza?.
P
 
Yaani mtu asitumie haki yake ya kikatiba kweli??

Hivi humu ndani mbona kuna watu wana mawazo yenye mushkeli sana

Sasa mtu akiongea wewe unaumia nini?
Anaongea na jamii, na sisi tunamjibu. Hakuna anayemkataza kuzungumza, azungumze lakini tutamjibu kuonesha undani wake na kuwa she is not talking to fools!! Asiji potray as mtetea haki wakati alishiriki kukandamiza haki! Never!
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!

HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA

KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
Naunga mkono hoja Tena si ndio aliyekuwa anasema ni vihela vya mboga
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!

HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA

KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
Mzee wa Msonga naye KIMYAAA
 
Je kama ameokoka siku za hivi karibuni?

Huyo mpuuzi ni apuuzwe tuu atasema mwisho atakachoka ataacha.
 
Mleta hoja hataki unafiki au double standard.Amelenga kumpa makavu mwana mpotevu aliyekula pesa za umma bila kunawa.
Prof Tibaijuka siku akirejesha bilioni za Lugemalila baada ya kufungwa jela miaka isiopungua 50 na kunyaganywa mali zake ndipo aje hapa kuzungumzia haki,demokrasia na utumbo mwingine.
HUU NI UJINGA. SO KAMA MTU ALIKOSEA AKAJA AKAGUNDUA AMEKOSEA AENDELEE KUNYAMAZA? NYIE HAMNA AKILI. KAMA NI HIVYO HATA MBINGUNI HAKUNA ATAKAYEENDA. WAACHENI WATU WAZUNGUMZE NDO DEMOKRASIA. NA KILA MTU ANA UHURU WA KUTOA MAWAZO YAKE. KAMA HUYAPENDI GO SHOVE THEM UP YOUR ARSE. 😁
n
 
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki!

Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao "ngedere" wasiojua kuwa ukiunguza msitu ukachekelea unaungua, ikifika jioni usilalamike wapi pa kulala!

HUU UKWELI, NA NI UKWELI MTUPU, ALIOUSEMA JANA ALIBIDI AUSEME AKIWA NDANI YA MFUMO AU ATOKE.KUONESHA KUWA HAKUBALIANI NA UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA

KAMA AKINA MBOWE, LISU, LEMA , HECHE NA WENGINE WENGI AMBAO SIJAWATAJA WALIVYOKITETEA WANACHOKIAMINI MPAKA WENGINE KUFA
Aliapa kuitetea kitumbua chake wakati huo,Sasa moyo unauma!Mwacha apasuke ni wakati wa ukweli kuuujua,Nape hakuwa muongo!
 
Back
Top Bottom