Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

Hahaaa!!mfano waziri wa maji kila siku yuko ziarani tu, kupiga mikwara kwa miaka zaidi ya sita sasa, lakini matatizo ni yale yale tu, kila anaporudi tena eneo lile anakutana na tatizo lile lile tena!!!

huyu waziri wa maji anapenda sana maonyesho hatatui kero bali anatatua kero kwenye tv aonekane.
 
View attachment 2065734

Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu.

Anasema watu wanazunguka kutaka ku score point za kisiasa tu.

Amegusia kuhusu kilimo. Anasikitika sana kuona kilimo kinaimbwa wakati hakuna mabwawa ya kutosha. Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengi wanabuni ziara ili waunganishe safari kwenda kutembelea ndugu, marafiki na miradi yao binafsi.

Wanasumbua sana taasisi za wizara ambazo zinalazimika kugharamia ziara za mawaziri na kuwaandalia bakshishi
 
NmekudiNilikodi mashamba ya kulima iringa nikitegemea mvua...cha ajabu haijanyesha, hii ya mabwawa inamaana sana
Hata Mimi mkuu...nmekodi shamban heka nne...nmennua maharage kilo 130 kwaajili ya mbegu ,folier fertilizer Kama tat tofaut, gharama ni kubwa mbaka Sasa...daah na haijashuka Ila sjakata tamaa...ruaha maji yamekauka kabsa yaan daaah nchi ngum sana hii
 
Nimeandaa shamba Toka mwezi wa kumi mpk Sasa limejigeuza pori linaloota Bila mvua...

Assad Ni mtu sahihi kwny inchi isiyo sahihi..
Inakera sana... Ukizngatia nmetumia poker money na boom... Daaah nataman kulia
 
Kumbe anasoma mada zetu humu jukwaani!.

Hili wazo nililitoa wkt fulani hasa kipindi kile cha uhaba wa maji, leo amegusa pale pale.
WAZIRI WA KILIMO AYACHUKUE HAYA AYAPANGE KWENYE BAJETI YAKE IJAYO.
 
Watu wa Misri, Libya, Tunisia, Morocco wakija tanzania wakaona tuna uhaba wa maji au umeme watashangaa sana tuna akili gani.
Nakumbuka siku moja Hayati Magufuli alisimama maeneo ya Bahi akaona maji yanapotea akaagiza Halmashauri wajenge bwawa kubwa pale ili wayavune yale maji yote wakati wa masika na yatumike wakati wa kiangazi; sijui kama walitekeleza.
 
Wengi wanabuni ziara ili waunganishe safari kwenda kutembelea ndugu, marafiki na miradi yao binafsi.

Wanasumbua sana taasisi za wizara ambazo zinalazimika kugharamia ziara za mawaziri na kuwaandalia bakshishi
Bakshishi tena?
 
WAZIRI WA KILIMO AYACHUKUE HAYA AYAPANGE KWENYE BAJETI YAKE IJAYO.
Bajeti yetu kwa asilimia kubwa inawekwa kwenye mambo ya siasa na jeshi la polisi jwa ajili ya uchaguzi not hii tunayojadili hapa.
 
Inawezekana sehemu kubwa ya nchi yetu watu wake wana uwezo mdogo sana kiakili na kufikiri kwa logic.
Yep, unaona hata JPM alipata tabu sana kwenye hili kwa watendaji wake. That's why utaona CEOs from private sectors ndio wanapelekwa serikalini kuchangamsha "genge" na sio vice versa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye maji kwenda baharini kuliko kutumia wanadamu katisha sana, lol
 
Kunahitajika mabadiliko makubwa ya mfumo tuweze kwenda mbele kwa kasi inayostahili.
 
Back
Top Bottom