Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

Viwanda havikuachwa na wakoloni, vilijengwa na Nyerere, vikauzwa na Mkapa.
acha kumpa ujiko Mzee Mchonga wewe,
Viwanda vile vilitaifishwa na kuporwa na serikali kipindi Cha ujamaa na wakashindwa kuviendesha na vikajifia kifo Cha Mende,hivyo ndivyo nijuavyo
Mkapa aliviuza vikiwa skrepa kitambo,
Prove me wrong!
 
View attachment 2065734

Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu.

Anasema watu wanazunguka kutaka ku score point za kisiasa tu.

Amegusia kuhusu kilimo. Anasikitika sana kuona kilimo kinaimbwa wakati hakuna mabwawa ya kutosha. Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi 🤣🤣🤣🤣
Inatia moyo, angalau bado kuna watu wachache wana akili timamu.
Tuna watu wengi wajinga sana kwenye nchi.
 
Hii ni kweli mkuu hivi hivi kulikuwa na tija gani Makamba kupanda helikopta halafu amerudi kimya kimya licha ya mbwembwe zote..Pana harufu ya kuumiza Kodi zetu....kwa kiwango kikubwa...
Kama profesa alivyo sema hii nchi yetu inatazo la kimfumo na tiba yake ni katiba mpya
 
Hiii Nchi Ina mambo ya ajabu sana,yaani Viongozi tulionao ni mizigo,mizigo,mizigo Kwa taifa watu wapo wapo tu na low IQ ni kujitafutia maujiko na kufeed matumbo ya njaa
Imagine mpaka Leo serikali ya CCM inayojitanabaisha sera zake ni za kilimo kwanza ni vioja vya Karne,
Imagine hata kufuta ushuru wa pembejeo za kilimo pale bandarini Ili ziwe Bei rahisi Kwa wakulima na kuwafikia Kwa wingi hakuna na hawana mpango na bandari tunayo ni maamuzi ya siku Moja tu ila still wakulima wanateseka sana sana Miaka na Miaka Bei ya mfuko mmoja wa mbolea unanunuliwa Kwa gunia Tano za mahindi,
Seriously Hivi Ina make sense kweli wadau?
Haya tuachane na Hilo Hivi inashindikanaje kuagiza magari mfano Toyota pickup Kwa wingi yakawa free tax yakawa yanauzwa Kwa Bei rahisi mno kusaidia wakulima kubeba mazao Yao mashambani kusogeza masokoni?
Hivi hua mnakwama wapi haya mambo nyie wenye mamlaka kusaidia wakulima wadogo wadogo?

Hampo seriously Kabisa!
 
Ni kweli imagine mtu kama Ndugai anahoji mikopo kwamba hajui imefanya nini wakti yeye ni spika amekuwa anapitisha mipango ya serikali kila bajeti.

Huu ni ukichaa,alikuwa na fursa ya kuzuia wakati wa bungee.
Kupitia kauli za spika nimegundua kuna tatizo katika mfumo wa uongozi kati ya mihimili ya serikali
 
Nimesema kuwa wazo la kilimo cha umwagiliaji ni la siku nyingi. Tuuache kujipa ujiko eti wametowa hapa!! Tatizo liko kwenye kutekeleza.
Inaonekana hujui kitu na unasoma kurudi nyuma, soma uzi wote kisha soma reply yangu kwa kutulia, usikurupuke, utaendelea kujibu pumba.

There's no paragraph i wrote about kilimo cha umwagiliaji 🥱
 
Tuna Mabonde ya Asili ya kutosha, ambayo sifikiri hata kama tumefikia 1/3 ya matumizi. Hatulazimiki sana kuanzisha mabwawa mapya, Mito na Maziwa yapo kila kona.

Mabwawa ni kwa maeneo yasiyo na mabonde wala mito, na hatupaswi kulazimisha kila zone iwe ni ya Kilimo.
Wale walio kwenye Mabonde ya Mito na Maziwa, wawezeshwe hasa SOKO, vingine vyote ni porojo tu. SOKO ndilo linalokatisha watu tamaa, iwe ni kwa protectionism au nini SOKO linapokuwa uhakika hutasikia mtu analilia pembejeo.

Wale walio maeneo makame, hakuna ulazima was kuwachimbia bwawa kama bajeti haipo, Wageukie Ufugaji nao ni Kilimo.

Kilimo chetu hakikwamishwi na Ukosefu wa Mabwawa, bali SOKO tatanishi.
 
Hili la kuwafanya watu masikin co la bahat mbaya,lipo kwa lengo la kuendelea kututawala
Hiii Nchi Ina mambo ya ajabu sana,yaani Viongozi tulionao ni mizigo,mizigo,mizigo Kwa taifa watu wapo wapo tu na low IQ ni kujitafutia maujiko na kufeed matumbo ya njaa
Imagine mpaka Leo serikali ya CCM inayojitanabaisha sera zake ni za kilimo kwanza ni vioja vya Karne,
Imagine hata kufuta ushuru wa pembejeo za kilimo pale bandarini Ili ziwe Bei rahisi Kwa wakulima na kuwafikia Kwa wingi hakuna na hawana mpango na bandari tunayo ni maamuzi ya siku Moja tu ila still wakulima wanateseka sana sana Miaka na Miaka Bei ya mfuko mmoja wa mbolea unanunuliwa Kwa gunia Tano za mahindi,
Seriously Hivi Ina make sense kweli wadau?
Haya tuachane na Hilo Hivi inashindikanaje kuagiza magari mfano Toyota pickup Kwa wingi yakawa free tax yakawa yanauzwa Kwa Bei rahisi mno kusaidia wakulima kubeba mazao Yao mashambani kusogeza masokoni?
Hivi hua mnakwama wapi haya mambo nyie wenye mamlaka kusaidia wakulima wadogo wadogo?

Hampo seriously Kabisa!
 
Tuna Mabonde ya Asili ya kutosha, ambayo sifikiri hata kama tumefikia 1/3 ya matumizi. Hatulazimiki sana kuanzisha mabwawa mapya, Mito na Maziwa yapo kila kona.

Mabwawa ni kwa maeneo yasiyo na mabonde wala mito, na hatupaswi kulazimisha kila zone iwe ni ya Kilimo.
Wale walio kwenye Mabonde ya Mito na Maziwa, wawezeshwe hasa SOKO, vingine vyote ni porojo tu. SOKO ndilo linalokatisha watu tamaa, iwe ni kwa protectionism au nini SOKO linapokuwa uhakika hutasikia mtu analilia pembejeo.

Wale walio maeneo makame, hakuna ulazima was kuwachimbia bwawa kama bajeti haipo, Wageukie Ufugaji nao ni Kilimo.

Kilimo chetu hakikwamishwi na Ukosefu wa Mabwawa, bali SOKO tatanishi.
Kule kilolo Iringa kuna diwani mmoja juzi juzi ameposti picha ati anajisifu anachimba kisima kwa milioni 50!

Imagine sehemu kama Kilolo mito kila kona alafu milioni 50 inapotea kwa kuchimba kisima
 
View attachment 2065734

Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu.

Anasema watu wanazunguka kutaka ku score point za kisiasa tu.

Amegusia kuhusu kilimo. Anasikitika sana kuona kilimo kinaimbwa wakati hakuna mabwawa ya kutosha. Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hivi huyu si ndio aliponda bwawa la nyerere?
 
Katika nchi hii, viongozi wote wanapaswa warudi darasani kujua majukumu yao. Waziri hana togauti na katibu mkuu, mkuu wa mkoa hana tofauti na RAS na Mkuu wa wilaya hana tofauti na DED.

Ifike pahala kila mtu atimize majukumu yake.
 
Wakulima wanachukiliwa kama ni Watanzania wa daraja la mwisho. Nobody cares about them zaidi ya kuwaimbia mapambio ya kisiasa tu.
Cha ajabu na wao wanaitikia vibwagizo na miuno juu..hii nchi ina laana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Profesa namkubali.
Hapa nilikuwa najiuliza kwanini nisijenge bwawa langu au kisima kikubwa chini ya milima huku kwetu. Navuna maji ya mvua kwa miezi 3 hadi 4. Nasafirisha maji kwa mabomba ya mipira hadi shambani.

Tanzania kuna mengi hatuja fanya.
Wazee wa mabonde..maji..wizara ya kilimo na taasisi zingine kama nemc takukuru utashangaa wametokea wapi..watakusumbua vibali sijui nini..ukikaa vibaya utapewa kesi ya uhujumu uchumi.

Hii nchi ina laana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom