Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
acha kumpa ujiko Mzee Mchonga wewe,Viwanda havikuachwa na wakoloni, vilijengwa na Nyerere, vikauzwa na Mkapa.
Inatia moyo, angalau bado kuna watu wachache wana akili timamu.View attachment 2065734
Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu.
Anasema watu wanazunguka kutaka ku score point za kisiasa tu.
Amegusia kuhusu kilimo. Anasikitika sana kuona kilimo kinaimbwa wakati hakuna mabwawa ya kutosha. Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi 🤣🤣🤣🤣
Kama profesa alivyo sema hii nchi yetu inatazo la kimfumo na tiba yake ni katiba mpyaHii ni kweli mkuu hivi hivi kulikuwa na tija gani Makamba kupanda helikopta halafu amerudi kimya kimya licha ya mbwembwe zote..Pana harufu ya kuumiza Kodi zetu....kwa kiwango kikubwa...
Kupitia kauli za spika nimegundua kuna tatizo katika mfumo wa uongozi kati ya mihimili ya serikaliNi kweli imagine mtu kama Ndugai anahoji mikopo kwamba hajui imefanya nini wakti yeye ni spika amekuwa anapitisha mipango ya serikali kila bajeti.
Huu ni ukichaa,alikuwa na fursa ya kuzuia wakati wa bungee.
Sasa hiv sitii mguu yenyewe inyeshe tuWhat a loss!
Pole mkuu ila mvua zipo njiani..mwaka huu ni maumivu kwa wakulima wengi.
😂😂😂Sasa hiv sitii mguu yenyewe inyeshe tu
Inaonekana hujui kitu na unasoma kurudi nyuma, soma uzi wote kisha soma reply yangu kwa kutulia, usikurupuke, utaendelea kujibu pumba.Nimesema kuwa wazo la kilimo cha umwagiliaji ni la siku nyingi. Tuuache kujipa ujiko eti wametowa hapa!! Tatizo liko kwenye kutekeleza.
Nakubaliana na wewe.Tulishasema,serikali ingejikita kwenye kuwezesha sekta ya kilimo,hata umachinga
Ungepungua mijini
Ova
Hiii Nchi Ina mambo ya ajabu sana,yaani Viongozi tulionao ni mizigo,mizigo,mizigo Kwa taifa watu wapo wapo tu na low IQ ni kujitafutia maujiko na kufeed matumbo ya njaa
Imagine mpaka Leo serikali ya CCM inayojitanabaisha sera zake ni za kilimo kwanza ni vioja vya Karne,
Imagine hata kufuta ushuru wa pembejeo za kilimo pale bandarini Ili ziwe Bei rahisi Kwa wakulima na kuwafikia Kwa wingi hakuna na hawana mpango na bandari tunayo ni maamuzi ya siku Moja tu ila still wakulima wanateseka sana sana Miaka na Miaka Bei ya mfuko mmoja wa mbolea unanunuliwa Kwa gunia Tano za mahindi,
Seriously Hivi Ina make sense kweli wadau?
Haya tuachane na Hilo Hivi inashindikanaje kuagiza magari mfano Toyota pickup Kwa wingi yakawa free tax yakawa yanauzwa Kwa Bei rahisi mno kusaidia wakulima kubeba mazao Yao mashambani kusogeza masokoni?
Hivi hua mnakwama wapi haya mambo nyie wenye mamlaka kusaidia wakulima wadogo wadogo?
Hampo seriously Kabisa!
Mkijengewa mabwawa mtaambiwa mna haribu mazingiraNilikodi mashamba ya kulima iringa nikitegemea mvua...cha ajabu haijanyesha, hii ya mabwawa inamaana sana
Kule kilolo Iringa kuna diwani mmoja juzi juzi ameposti picha ati anajisifu anachimba kisima kwa milioni 50!Tuna Mabonde ya Asili ya kutosha, ambayo sifikiri hata kama tumefikia 1/3 ya matumizi. Hatulazimiki sana kuanzisha mabwawa mapya, Mito na Maziwa yapo kila kona.
Mabwawa ni kwa maeneo yasiyo na mabonde wala mito, na hatupaswi kulazimisha kila zone iwe ni ya Kilimo.
Wale walio kwenye Mabonde ya Mito na Maziwa, wawezeshwe hasa SOKO, vingine vyote ni porojo tu. SOKO ndilo linalokatisha watu tamaa, iwe ni kwa protectionism au nini SOKO linapokuwa uhakika hutasikia mtu analilia pembejeo.
Wale walio maeneo makame, hakuna ulazima was kuwachimbia bwawa kama bajeti haipo, Wageukie Ufugaji nao ni Kilimo.
Kilimo chetu hakikwamishwi na Ukosefu wa Mabwawa, bali SOKO tatanishi.
hivi huyu si ndio aliponda bwawa la nyerere?View attachment 2065734
Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu.
Anasema watu wanazunguka kutaka ku score point za kisiasa tu.
Amegusia kuhusu kilimo. Anasikitika sana kuona kilimo kinaimbwa wakati hakuna mabwawa ya kutosha. Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cha ajabu na wao wanaitikia vibwagizo na miuno juu..hii nchi ina laana.Wakulima wanachukiliwa kama ni Watanzania wa daraja la mwisho. Nobody cares about them zaidi ya kuwaimbia mapambio ya kisiasa tu.
Ameelimika achana na wale ma ustadhi wali..kama sheikh wa dsm..bogus kabisa.Huyu ustadh kichwa sana ana madini sana
Wazee wa mabonde..maji..wizara ya kilimo na taasisi zingine kama nemc takukuru utashangaa wametokea wapi..watakusumbua vibali sijui nini..ukikaa vibaya utapewa kesi ya uhujumu uchumi.Profesa namkubali.
Hapa nilikuwa najiuliza kwanini nisijenge bwawa langu au kisima kikubwa chini ya milima huku kwetu. Navuna maji ya mvua kwa miezi 3 hadi 4. Nasafirisha maji kwa mabomba ya mipira hadi shambani.
Tanzania kuna mengi hatuja fanya.