Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Kwa maelezo yake tu huyu mzee ni mwenye kiburi na mwenye kujiabudu (self-worshiping)!
Kama yeye alikua appointed kulikua na shida gani mwenye mamlaka na yeye kuchukua iyo nafasi na kumpa mwingine? Je haoni kua katiba anayojifanya kuisimamia ilipaswa explicitly nafasi ya CAG ilipaswa itangazwe na iwe shindanishi ili kuondoa makandokando yote? Wakati Mkwere anatamba na Mamereta, Escrow na madubwasha mengine hapo mwishoni yeye alikua wapi?
Unafiki ni asili ya mtz..na muoga haachi asili!
 
Magufuli alikuwa na roho mbaya Sana, Sasa angalia hapo, inamaana alivunja katiba aliyoapa kuilinda
 
Profesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.

Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
Hii ni tweet yake 2020
"I knew some individuals who had excellent minds in the past but having come into government their levels of acquired idiocy really astounds. Utter fools! For what? Comfort and status! These go away or you will go away; one way or the other. All praises to God, the Almighty".
 
Kama wale wanaojaribu kulazimisha tumuone mtu fulani alikuwa mtu muhimu sana kumbe sisi wengine tunaona alikuwa takataka kuliko kinyesi cha nguruwe.
 
Lile zee lilikuwa na roho mbaya Sana, Bora lilivyokufa
 
Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Huyu mzee ni baadhi ya wazee ambao walikua hawana time wala walikua hawaogopi simu za jiwe, ilikua kama anapiga jamaa anakata akimwambia sijui nyokonyoko mzee anamwambia acha upuuzi wewwe dunia siyo ya babaaako, kuna maviongozi sasahivi viazi kweli suala ukweli kwao ni kitendawili kisa V8 na matumbo yao, wakwanza Diblo Dibala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…