Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kwa maelezo yake tu huyu mzee ni mwenye kiburi na mwenye kujiabudu (self-worshiping)!
Kama yeye alikua appointed kulikua na shida gani mwenye mamlaka na yeye kuchukua iyo nafasi na kumpa mwingine? Je haoni kua katiba anayojifanya kuisimamia ilipaswa explicitly nafasi ya CAG ilipaswa itangazwe na iwe shindanishi ili kuondoa makandokando yote? Wakati Mkwere anatamba na Mamereta, Escrow na madubwasha mengine hapo mwishoni yeye alikua wapi?
Unafiki ni asili ya mtz..na muoga haachi asili!