Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Anafunua uchi wa mtuHuyu nae!
Sasa analialia nini anataka arudishwe au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafunua uchi wa mtuHuyu nae!
Sasa analialia nini anataka arudishwe au?
Mwili nyumba akili kisoda..Magu alikuwa sahihi kabisa huyu mzee mara agombane na bunge mara achokonoe mambo ya ikulu...sasa naona maumivu ya kupigwa benchi hayajapona.
Hii ni nchi ukitaka uwa outshine wenye mamlaka lazima upigwe na kitu kizito.
Na huyo kidume yuko wapi sasa hivi 😀 😀 kazi kweli kweli.Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Si ni VC wa chuo MUM hapo Morogoro?Aseme nae alifoji cheti na ndo maana ana nyodo sana.
Kazi.iliisha aache wengine nao wafanye,
Kama hakujiandaa basi elimu anayo afungue hata shule afundushe ili aendelee kujipatia kipato.
Wakiwa makazini wanashauri watu watumei akiri zao kujiajili lakini wao hawawezi.
Hana pesa njaaa kali huu ni wakati wa yy kulea wajukuaaa toka alipo pata ajira take ya kwanza na mshahara wake wa kwanz bado tu anataka ajira serikarini afungue shuleHuyu nae!
Sasa analialia nini anataka arudishwe au?
Njaa kali hana pesa si atulie ssa anapiga kelele za kutaka kurudiPesa ipo sema hana show off tajiri.
Sio kweliHuyu mzee Assad hafai, ni mjivuni sana na ni kati ya watu wasiojali utu wala huruma kwa wengine. Zamani nilikuwa simjui nilidhani ni mtu safi kwa sababu ni muislam na sijda juu lakini nilipomfahamu zaidi ndio nikajua huyu mzee hafai kuwa kiongozi.
Kwa sasa ni makamu mkuu wa chuo kikuu cha waislam Morogoro (MUM), amesababisha wanafunzi wengi walioshindwa kumaliza ada zao kuacha vyuo na wengine kurudia semester yote kwa sababu alikataa katakata kuwasikiliza sababu zao. Aliteuliwa kuwa makamu mkuu wa chuo kipindi kile 2019 ambapo covid ndio imepamba moto na wazazi hawakuwa vizuri kiuchumi kwa hiyo wanafunzi wengi waliomba kufanya mtihani bila kukamilisha ada lakini hili zee lilikataa kuwasikiliza.
Ni mzee mshenzi asiyefaa kukaa ofisi ya umma. Ana maringo sana mpuuzi huyu.
Ndugu,Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Ndio mpunguze kujiita jiwe.Kila nafsi itaonja mauti.
Profesa Assad hakuwai kumkosoa Magufuli akiwa hai... nakumbuke pale ikulu aliulizwa kuhusu trilion 1.5 alisema kuwa hakuna iliyopotea.... baadae ndio akaanza kuogombana na bunge........na akaondolewa.... Assad hajawai kupambana na Magu hata siku moja ... Assad kaanza kusema baada ya Magufuli kufariki... mtu pekee aliyekuwa na uwezo wa kuongea Magu akiwa hai ni Tundu Lissu tuuNi mtu pekee kati ya wateule wa Magufuli aliyekuwa na uwezo wa kumkosoa waziwazi. Hakuwa mtu wa kulamba miguu na hiyo ndiyo sifa ya mwanamume.
Bahati mbaya tupo nyuma ya KeyboardMwenzio kaacha legacy chuo kikuu UDSM na pia as one of the best CAG... vp wewe una legacy yeyote zaidi ya UCHAWA?
kwahiyo kwa akili yako ulitaka agombane naye hadharani na unajua kabisa alikua kichaa? tumia akili ndugu nimesema kwenye simu alikua anampiga spana mbayaaa kabisa, hata ingekua wewe lile dubwana na wazimu wake silingekuua palepale kwa mkono wake tena bila kuamuru walinziProfesa Assad hakuwai kumkosoa Magufuli akiwa hai... nakumbuke pale ikulu aliulizwa kuhusu trilion 1.5 alisema kuwa hakuna iliyopotea.... baadae ndio akaanza kuogombana na bunge........na akaondolewa.... Assad hajawai kupambana na Magu hata siku moja ... Assad kaanza kusema baada ya Magufuli kufariki... mtu pekee aliyekuwa na uwezo wa kuongea Magu akiwa hai ni Tundu Lissu tuu
Acha kumsingizia Prof bwana awezi kumtukana au kumsema Rais akiwa hai... Prof kasema yoye hayo baada ya chuma kufariki.... nchi hii ilikuwa ina wanaume wawili Lissu na Magu tuukwahiyo kwa akili yako ulitaka agombane naye hadharani na unajua kabisa alikua kichaa? tumia akili ndugu nimesema kwenye simu alikua anampiga spana mbayaaa kabisa, hata ingekua wewe lile dubwana na wazimu wake silingekuua palepale kwa mkono wake tena bila kuamuru walinzi
Mwendazake alivunja Katiba ya JMTZ ndio hoja.Kwa hiyo anataka arudishwe kwa sababu hakumakiza muda wake? Ili amalizie