Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Ndio mpunguze kujiita jiwe.
Mkuu punguza makasiriko wewe ni miongoni mwa watu wanaojichukia walivyoumbwa na kuchukia kila kitu maishani, ni mtu ambaye upo tayari kulaumu wengine kwa matatizo uliyojisababishia wewe mwenyewe.
 
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.

Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.

Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
Unataka urudishwe kama wenzio? Sema tu ni wakati wenu
 
Jaffar Assad ni mzalendo aliyetukuka wa nchi hii...aliibua ufisadi mkubwa wa Magu kuiba trillion 1.5...na mpaka leo hatujui yule mwendazake alizificha wapi
 
This man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.
Haha najua hutaamn ila kuna siku nilipishana na huyu Mzee sehem anatembea Kwa miguu ni karibu na kwake mida kama ya saa moja iv.. ....mwamba niliekua nae akaniuliza unamjua huyo Mzee tulopishana nae..nikasema hapana......akaniambia ni prof Assad .......ilibidi nigeuke kutazama vizur ....ndo kugundua n Mzee ..
 
Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
Mzee aseme tu alirudia la saba. Tukiwaita "ripita" siku zile. It was a very common practice kwa wakati ule.
Haina ubaya wowote ule wala haimaanishi mtu hakuwa na akili. Ni uchache tu wa nafasi za sekondari.
 
kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.
IMG_c13wlc.jpg
 
Siasa ni mikakati. Assad angetakiwa ayaongee haya wakati Marehemu yupo. Kuongea haya wakati hayupo kwenye Uislamu ni kuonesha woga na unafiq. Pia asipende sana publicity .... Akue.
acha kujichekesha kwangu,wewe ni nani mpaka uwapangie watu wakati gani aongee nini. BTW Assad hii sio mara ya kwanza kuongea hiki,au ulitaka akiongea aje akupe ripoti?
 
Kidume hakipo ila watu kawaachia maumivu makali hawataa wapate recovery...ni kulialia mpaka wanakufa nao 😄😄😄
Kidume kilichommiminia mtu risasi 36 then mtu akapona.. naye kuja kuangushwa na tumafua kama tumafua twingine.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.

Bahati mbaya alikutana na Chuma.

Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.

Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Icho kidume kilichomuondoa kiko wapi? Only God....
 
This man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.

You simply don't know him. He is not a genius by any standards. Yeye alidanganywa na wanasiasa wakimwaminisha watamtetea, anawaeleza report aliyoandika hata kabla hajaiwasilisha bungeni. Angekuwa slightest genius angetambua katiba ilibadilika siku nyingi sana na kuwa kuna vipindi vya kutumika kama CAG, yeye anang'ang'ania vifungu vinavyotaja umri wa kustaafu. Kipindi kimoja kikiisha waweza kuongezewa kipindi cha pili au usiongezewe. Waliomwaminisha ataendelea mpaka afikie 65 years sasa wote wala hawampihii simu. Ana bahati mbaya saaana.
 
Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.

Bahati mbaya alikutana na Chuma.

Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.

Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?

Chuma cha hovyo sana kile, asante mungu katulipia tunapumua sasa[emoji23]
 
Kidume hakipo ila watu kawaachia maumivu makali hawataa wapate recovery...ni kulialia mpaka wanakufa nao [emoji1][emoji1][emoji1]
Mungu nae hakosei anapiga kichwani tu kama nyuki ,kidume kipo kinawasikiliza wakina kibatala uko hell
 
Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.

Bahati mbaya alikutana na Chuma.

Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.

Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?

Maisha ni kitu cha thaman sana,

Chuma kilijua kucheza na maisha ya watu,kiko wapi kile chuma leo??

Ogopa sana kucheza na maisha ya watu,ogopa sana
 
Back
Top Bottom