Hiyo 'prof mstaafu' umeongeza wewe hapo.
 
CAG Mstaafu Prof Mussa Assad amesema hatapiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura Kidigitali na kuiona mubashara kura Yako inaenda kwa mlengwa

Assad amesema nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani

Eid al Adh'haa Njema!
Profesa naye ni mshamba kiasi hicho, cha kudhani "kura ya kijidigitari" ndio suluhisho?
Siamini kuwa kayasema hayo.
 
Sio tume huru ya uchaguzi yeye anataka kura ya kidigitali tu?
 
Mzee keshashiba ubwabwa wake sasa anaropoka tu. Mwambie, sisi tutaendelea kupiga kura. Kura yake moja haisaidii chochote.
Namuona hapo chini ukipeleka ufagio kwa Asad na ndio akakuambia hayo.
View attachment 2673047
Nchi hii punguani inaonekana mpo wengi.

Mtu kama wewe kwa upeo na akili yako ilivyo, huwezi kuelewa logic ya statement ya prof. Assad. Ni wake tu wenye akili inayofanya kazi ndio wataelewa.
 
CAG Mstaafu Prof Mussa Assad amesema hatapiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura Kidigitali na kuiona mubashara kura Yako inaenda kwa mlengwa

Assad amesema nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani

Eid al Adh'haa Njema!
Amesema ukweli mchungu, ndio maanaa chama tawala hapa nxhini na katika nchi zingine za Afrika zenye mfumo wa utawala kama Tz, haziheshimu wananchi wa kawaida (wapiga kura) kwa sababu vyama hivyo kuendelea kubaki madarakani havitegemei kura za Wananchi wapigakura, badala yake wanategemea Majeshi hususani Jeshi l an Polisi, Taasisi za Ujasusi/Upelelezi au majeshi mengineyo.
 
Kwamba Digitali ya Sasa haiwezi kuchezewa ?

Labda dunia ikiingia mfumo wa Block Chain katika Upigaji Kura; Otherwise its just a Useful Illusion ya kuwapa watu hope kwamba wao ndio wamemuweka atakayekuwepo hapo juu...
 
CAG Mstaafu Prof Mussa Assad amesema hatapiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura Kidigitali na kuiona mubashara kura Yako inaenda kwa mlengwa

Assad amesema nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani

Eid al Adh'haa Njema!
Huyo Prof. atakufa akiwa amechoka sana! Sio kwa kuropoka huko!!!
 
Tangu nizaliwe hadi sasa sijui hata hilo karatasi la kupiga kura linafananaje, na wala sijawahi kufikiria kupiga kura.
 
CAG Mstaafu Prof Mussa Assad amesema hatapiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura Kidigitali na kuiona mubashara kura Yako inaenda kwa mlengwa

Assad amesema nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani

Eid al Adh'haa Njema!

Ki digital ndo rahisi kabisa kuiba, asipige milele
 
CAG Mstaafu Prof Mussa Assad amesema hatapiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura Kidigitali na kuiona mubashara kura Yako inaenda kwa mlengwa

Assad amesema nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani

Eid al Adh'haa Njema!
Tunabandikana madarakani
 
Nchi hii punguani inaonekana mpo wengi.

Mtu kama wewe kwa upeo na akili yako ilivyo, huwezi kuelewa logic ya statement ya prof. Assad. Ni wake tu wenye akili inayofanya kazi ndio wataelewa.
Hahaaaaaa, wana harakati wa fake id wa JF bwana. Mashujaa wa kwenye Keyboard
 
Profesa naye ni mshamba kiasi hicho, cha kudhani "kura ya kijidigitari" ndio suluhisho?
Siamini kuwa kayasema hayo.

Ielewe tu dhamira yake, kwamba anataka uchaguzi wa haki usio na wizi wa kura...

Pengine yeye si mdadisi au mwerevu kuweza kujua hata kura zikipigwa kwa mifumo ya IT bado kuna mianya ya uchakachuaji...
 
Kwani kura za kidigitali haziwezi kudukuliwa,huyu prof hawajui wezi wa ccm,yani wakisikia uchaguzi wao wanawaza namna ya kuiba kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…