PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
29 Aprili 2025

CPA AMOS MAKALLA : DAR ES SALAAM HII, NI NGOME YA CCM


View: https://m.youtube.com/watch?v=O8qzqQABxNgKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Gabriel Makalla ...

Mwananyamala jijini Dar Es Salaam, leo jumanne Aprili 29, 2025... maeneo ya mto Ngome, kwa John Fedha kote mimi mwenyeji na mlitupa ushindi wa 99% uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 hapa Dar es Salaam

CCM ... hatutegemei dola bali miradi kama hii wilaya ya Kinondoni ndiyo inashawishi wananchi kutupa ushindi wa kushindo ...

Wale watalii watu wanatoka Tarime hawaijui Dar es Salaam wanataka kushindana na sisi tuliozaliwa hapa kwa kusema ninyi hapa Kinondoni ni masikini, wale jamaa kutoka Tarime washamba sana ...
 
Jaji - Mtindo wa jeshi la polisi kudai hakuna makosa kumzuia mtu kufanya kosa


View: https://m.youtube.com/watch?v=PfljkcqkIXQ
Jaji Makaramba amezungumza haya wakati akifafanua kipengele cha kuzui watu kufanya jambo ambalo si kinyume na sheria.

Mfano maandamano au kukusanyika Mahakamani kunaweza kuleta taharuki hivyo kwa kisingizio cha sheria ya 'Preventive Detention' Polisi wanaweza kukuzuia au kukutoa eneo moja na kukutupa pengine

24 Aprili 2025
TOKA KISUTU HADI UNUNIO


View: https://m.youtube.com/watch?v=3sKHvyb5Z28
 
kisingizio cha sheria ya 'Preventive Detention' Polisi wanaweza kukuzuia au kukutoa eneo moja na kukutupa pengine

24 Aprili 2025
TOKA KISUTU HADI UNUNIO

Hivyo jeshi la Polisi limetumia mapungufu au matundu katika sheria hii ya 'Preventive Detention' kuwashikilia viongozi wetu na wanachama wa CHADEMA kisha kuzunguka nao ndani ya magari ya polisi mitaa yote mjini hadi usiku wa kiza baadaye kuwatelekeza barabarani, na wengine ambao hawakuwa na bahati kutupwa Ununio, Mabwepande na Bagamoyo ?!
 
kuleta taharuki hivyo kwa kisingizio cha sheria ya 'Preventive Detention' Polisi wanaweza kukuzuia au kukutoa eneo moja na kukutupa pengine

TUKIREJESHWA KWA NGUVU NA POLISI MIKOA TULIYOTOKA SIKU YA VIJANA DUNIANI

Vijana wa CHADEMA BAVICHA WAKIWA KTK KARANDINGA LA POLISI SIKU YA VIJANA DUNIANI MBEYA 2024

Jumla ya vijana zaidi ya 500 wanachama wa CHADEMA walikamatwa katika operesheni kubwa ya jeshi la Polisi nchini Tanzania kuwazuia wasiweze kushiriki kongamano la kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani iliyoandaliwa na CHADEMA kufanyika jijini Mbeya Tanzania .
 
👆 Kwa sheria hizi kwa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa


No Reforms No Election 2025
 

TOKA MAKTABA :

Professor Eginald Pius A.N. Mihanjo, Tanzania​



Professor Eginald Pius A.N. Mihanjo, director of studies at the National Defence College in Tanzania, did not originally find a practical application for his Ph.D. in history and strategic studies outside of teaching university courses.

However, at the Africa Center’s 2006 Senior Leaders Seminar, where he “trained and [was] exposed intensively on security issues and national security strategy,” he began to be “able to see the links and synergies that finally drew my interest and shaped me,” he says.

“The Africa Center has made me who I am today both in the national security strategy training and also at National leadership and higher learning training.” Professor Mihanjo has often credited the knowledge gained at the Senior Leaders Seminar and other Africa Center workshops as providing him with “the foundation for strengthening curriculum development in national security strategy” in his country.

Today Professor Mihanjo focuses on the issue of natural resource management as a potential source of conflict, and his unique blend of both government and academic service affords him a unique perspective on issues of good governance, strategic planning, and defense training.


He cautions the next generation of leaders that “African security professionals detach themselves from people as they become leaders in the security sector.” This may lead to leaders not being “clear on security challenges [at local and district levels], especially in regards to irregular and asymmetric threats, and on the strategies to mitigate them.” In addition, “this big gap constrains the decisionmaking and informed opinion” needed to advise heads of state and government.

One method of addressing it is to develop ways to sensitize the leaders to what happens on the ground at the operational and tactical levels before they are promoted to top leadership positions.

Professor Mihanjo continues to serve as a critical resource in ensuring continued engagement with the Africa Center alumni community in Tanzania and within the East Africa Community. He assists in the planning of outreach events and the participant nomination process for Africa Center programs and other U.S. Government senior-level dialogues.

He currently serves as the president of the Africa Center’s Tanzania Alumni Chapter, which was founded on April 24, 2010, and boasts 109 members. Since the Senior Leaders Seminar in 2006, Professor Mihanjo has attended several more Africa Center workshops, trainings, and symposia. He has also taken part in many other programs hosted by the U.S. Africa Command, U.S. Embassy, and other institutions
 
CCM wajiandae kuwa Wapinzani muda sio mrefu.
 

MAHAKAMA KUU YATOA HUKUMU YA KIHISTORIA, POLISI HAWARUHUSIWI KUFICHA NYUSO ZAO AU KUVAA KININJA WANAPOKWENDA KUTAWANYA MAANDAMANO

Mahakama hiyo pia imeamuru watu walioumizwa na Polisi kulipwa fidia

WAANDAMANAJI 11 wamefidiwa Sh 200, 000 kila mmoja na Mahakama Kuu baada ya polisi kukiuka haki zao wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024.

Aidha, mahakama imeamua kuwa maafisa wa polisi wanaopelekwa kudumisha usalama wakati wa mikutano ya hadhara, maandamano au migomo lazima wavalie sare na wasifiche nyuso zao.

“Afisa yeyote anayeteuliwa kuhakikisha sheria na utulivu wakati wa mkutano wa hadhara, maandamano au migomo lazima awe kwenye sare rasmi, na asifiche uso wake kwa njia yoyote ile ili aweze kutambulika,” alisema Jaji Bahati Mwamuye.


Mahakama iliagiza Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuhakikisha kuwa maafisa wote waliotumwa kudhibiti maandamano au kutoa ulinzi kwa waandamanaji hawavai mavazi ya kiraia au kuvaa barakoa.

Maamuzi haya yalitokana na kesi ya Chama cha Wanasheria Kenya (LSK) dhidi ya maafisa wawili wa polisi, Martin Mbae Kithinji na Isaiah Ndumba Murangiri, waliokuwa miongoni mwa waliotumwa kudhibiti maandamano ya Juni 2024.

LSK ilidai kuwa Bw Murangiri ndiye aliyehusika na kifo cha Rex Masai, mmoja wa waandamanaji aliyeripotiwa kupigwa risasi na polisi Juni 18, 2024 katika jiji la Nairobi wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha.


Kulingana na LSK, visa vyote vya mauaji, ukatili wa polisi na unyanyasaji wa waandamanaji vinahusishwa na maafisa wasiovalia sare rasmi.

Mahakama ilisema kuwa kuvaa mavazi ya kiraia kuliwasaidia maafisa wa polisi kujichanganya na waandamanaji waliokuwa na amani.

Serikali iliagizwa kuwalipa waandamanaji — Joy Awich, Muthoni Matu, Kipng’etich Eman, Carolyne Mwikali, Stephen Obunde, Raymond Burgei, Felix Gatobu, Chatherine Njoki Njanja, Tim Kut, Wesley Tome na Imran Kasumba — jumla ya Sh2.2 milioni
 
Aidha, mahakama imeamua kuwa maafisa wa polisi wanaopelekwa kudumisha usalama wakati wa mikutano ya hadhara, maandamano au migomo lazima wavalie sare na wasifiche nyuso zao.
“Afisa yeyote anayeteuliwa kuhakikisha sheria na utulivu wakati wa mkutano wa hadhara, maandamano au migomo lazima awe kwenye sare rasmi, na asifiche uso wake kwa njia yoyote ile ili aweze kutambulika,” alisema Jaji Bahati Mwamuye.

 
Hoja dhaifu kabisa....sawa tupate kwanza sheria na muundo tmpya wa tume ya uchaguzi alafu twende tukathibitishe ubora na udhaifu wa elimu yake katika vitendo....ccm wanaweza kutoa tume huru na uchaguzi wa wazi kwa uonavyo
 
30 April 2025
Dodoma, Tanzania


NAIBU SPIKA ZUNGU ATOA KAULI NZITO BUNGENI -"WAJE TUJENGE TAIFA KWA MAELEWANO – WASIPOTOSHE UMMA"

View: https://m.youtube.com/watch?v=LtMxPF5K0HgNaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, aliye pia mbunge wa jimbo la Ilala lililopo mkoa wa, Dar es Salaam ..
 
KUSHAMBULIWA KWA Fr. Dr. Charles Kitima na kujeruhiwa kwa kiongozi huyu wa kidini, ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kutetea haki nchini Tanzania. Kuna maana gani kwa wachambuzi wa hali ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama katika taifa hili la Afrika ya Mashariki ?

01 May 2025
Dar es Salaam, Tanzania

Habari zilizopatikana usiku huu zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Father Charles Kitima, ameshambuliwa akiwa katika maeneo ya Baraza la Maaskofu TEC Kurasini Dar es Salaam , na amekimbizwa hospitali ya The Aga Khan kwa matibabu.


A Secretary General, Tanzania Episcopal Conference TEC since July 2018. He was Senior Lecturer for Constitutional Law, Media Law and Human Rights at SAUT University.
 

TOKA MAKTABA ONLINE

NYERERE AHOJI THEOLOJIA YA UKOMBOZI :

Julius Nyerere katika hotuba yake kuhusu kanisa na Theolojia ya Ukombozi katika Amerika ya Kusini

JUNTA (BARAZA LA KIJESHI) LATINO AMERIKA, WALIVYOJARIBU KUKAMDAMIZA UMMA, NYERERE AHOJI

Julius Nyerere katika hotuba yake kuhusu kanisa na Theolojia ya Ukombozi katika Amerika ya Kusini akiwa nchini Managua, Nicaragua. Hotuba yake hii ya mwaka 1988 inaigusa Tanzania ya 2024 kuhusu masuala ya hali ya kisiasa.

Ambapo watawala hawafanyi siasa zinazo wanufaisha wananchi walio wengi na wakikosolewa wanakuwa wakali wanatumia wanaoitwa watu wasiojulikana ambao wanafahamika na watawala kuwauliza maaskofu na kina sheikh Ponda uraia wao, kuua mzee Ali Mohamed Kibao, Ben Saanane, kutesa kutupa porini Mdude Nyagali, Sativa, 'panya road' n.k :


JULIUS NYERERE Former President of Tanzania Speech in Nicaragua in 1988​


On August 15th, 1988, Julius Nyerere, former president of Tanzania, gave a public lecture at a church in Managua. President Daniel Ortega spoke next.

THIS VIDEO PRESENTS THE TALK BY NYERERE. In 1979 the Nicaraguan people, under the leadership of the Sandinista Front for National Liberation, had overthrown the Somoza dictatorship.

Many Christians had participated in various ways in the struggle for liberation and continued to take part in the programs of the revolutionary government.

During the 1980s the Sandinista Revolutionary Government, which included three priests in the cabinet, sought to move Nicaragua in a socialist direction but had to concentrate resources on defending the country and the revolution against the US-supported counter-revolutionaries (Contras).

In early 1990, Daniel Ortega was defeated at the polls by a broad coalition which had Violeta Chamorro as its candidate. Julius Nyerere (1922 – 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Source : Joseph Mulligan

El 15 de agosto de 1988, Julius Nyerere, ex presidente de Tanzania, dio una conferencia pública en una iglesia de Managua. El presidente Daniel Ortega habló a continuación

20 August 2022
Managua, Nicaragua

Mwanamapinduzi rais Daniel Ortega alisakama Kanisa kwa kuikosoa serikali


View: https://m.youtube.com/watch?v=1CVkoAWRhAs
Police in Nicaragua have arrested a Catholic bishop known for his criticism of President Daniel Ortega. Rolando Alvarez is being detained at his home in the capital, Managua. This is part of a wider government crackdown on dissent among members of the clergy.

Cracks down on Catholic Church

Daniel Ortega’s regime targets last bastion of dissent with trial of outspoken bishop of Matagalpa Rolando Álvarez, bishop of Matagalpa and Esteli and a critic of president Daniel Ortega, celebrates mass online at a church where he was taking refuge in May. He was arrested in August

.Dressed in a blue shirt rather than clerical garb and gaunt after nearly four months under house arrest, Bishop Rolando Álvarez sat alone in a Nicaraguan court, charged with conspiracy to undermine national integrity and spreading false news.

Last week’s appearance was his first in public since being arrested in August during a raid on his diocesan headquarters in Matagalpa, where he had been holed up with 11 colleagues in protest at Catholic media outlets being closed.

The detention of Nicaragua’s most outspoken prelate, whose trial will begin in January, has sent an unmistakable message to opponents of the regime of president Daniel Ortega and his wife, vice-president Rosario Murillo.

“He’s been very direct and one of the few priests not afraid to speak out,” said Yader Morazán, a lawyer who fled Nicaragua in 2018. “This is about punishing him and sowing terror in the population and other clergy, too.” The business community was cowed into silence after it voiced support for anti-government protesters in 2018.

The leaders of Cosep, the main business organisation, were imprisoned. The regime has shut down more than 3,000 NGOs and forced 54 media outlets to close, according to Confidencial, a Nicaraguan newspaper operating from neighbouring Costa Rica.

Now, it is stepping up its repression of the Catholic Church, which has criticised Ortega’s persecution of protesters and his authoritarian excesses while supporting the families of political prisoners.“It has the objective of closing the last remaining civic space in the country, which is the space for freedom of conscience, freedom of preaching, religious freedom, even of the church,” said Carlos Chamorro, director of Confidencial.

A Nicaraguan exiled in Costa Rica holds a sign reading: ‘Ortega and Murillo Out! #SOSNicaragua’ at a protest against the detention of Bishop Alvarez, in San Jose in August


© Mayela Lopez/ReutersThe persecution of Álvarez and the church comes as Ortega and Murillo consolidate power and imprison opponents.

The ruling Sandinista National Liberation Front swept all 153 municipalities in elections last month that the US called “a pantomime”.The regime continues to hold 225 political prisoners, including “relatives of detained political opponents, allegedly to coerce the latter into surrendering”, the UN high commissioner for human rights, Volker Türk, said last week.“It’s on the way to becoming a virtual North Korea in Central America,” said Tiziano Breda, Central America analyst for the International Crisis Group. “It’s a country where Ortega has reckoned that, to maintain control of the state and to remain in power, the only way to do it is through total suppression of any minimal dissident voice.”

Daniel Ortega and Murillo have routinely condemned bishops as “terrorists” and “coup mongers”. Police have thwarted feast-day processions and officers routinely patrol outside churches in acts of intimidation, according to priests.

The Missionaries of Charity, the order founded by Mother Teresa, left in July after losing its registration. The Vatican’s ambassador, Archbishop Waldemar Sommertag, was expelled in March.

“The last institution left standing as a beacon of hope was the church,” said an exiled priest, who requested anonymity for security reasons.Ortega uses the Catholic Church as a kind of useful device if he needs it and like a carpet if he needs to lay the blame somewhere Ryan Berg The church has had a chequered relationship with Ortega since he first became president in 1979 when the Sandinistas ousted Anastasio Somoza.

Daniel Ortega lost power in 1990, but regained office in 2007, presenting himself as a proper Catholic and courting close relations with the church hierarchy, according to analysts. Ortega and Murillo married in a Catholic ceremony in 2005. He later backed a draconian abortion law in 2006, passed two weeks before an election he won, which bans the procedure in all circumstances.“[The bishops] were distracted by this effort by the Ortegas to crack down on abortion and they didn’t see the rest of the picture,” said Ryan Berg, director of the Americas programme at the Center for Strategic and International Studies, a think-tank.“Ortega uses the Catholic Church as a kind of useful device if he needs it and like a carpet if he needs to lay the blame somewhere.”

The church became an outspoken Ortega critic after protests erupted in 2018 over proposed social security reform.Priests opened their parishes to wounded protesters being pursued by police and paramilitaries.

The bishops’ conference convened a national dialogue to find an exit from the protests and political crisis but then withdrew, alleging bad faith on the government side. Pope Francis has spoken tepidly on Nicaragua. He expressed concern after Álvarez’s arrest in August and called for dialogue. He said in a press conference the following month: “There is dialogue. That doesn’t mean we approve of everything the government is doing or disapprove of it.” Analysts said dialogue between the government and protesters had gone from trying to find a political solution to the 2018 protests to simply seeking to improve conditions for prisoners held in El Chipote prison on the outskirts of the capital, Managua.

Photo: President Daniel Ortega of Nicaragua leader of Sandinistas

Daniel Ortega first came to power in 1979 when the Sandinistas overthrew the dictator Anastasio Somoza

“Dialogue doesn’t make sense with the dictatorship because it’s holding participants from the first dialogue in prison,” said Father Edwin Román, a Nicaraguan priest exiled in Miami.“I don’t think the Catholic Church will lend itself to another circus, when there’s a bishop and priests imprisoned.”The Nicaraguan bishops’ conference has remained silent on Álvarez’s arrest. It did not respond to a request for comment.“The bishops have opted for silence and prayer and not mentioning the problem to not be persecuted,” said the exiled priest.
Source : Financial Times
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…