Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Siungi mkono mzee Mwinyi kupewa zawadi, napinga tabia za watanzania kumeza habari kama inavyokuja zenye premise zisizo sahihi.Hata lingekuwa na thamani ya milioni 5, si haki kumpa huyo anayepokea posho 80% ya mshahara wa rais wakati wafanyakazi wakinyimwa nyongeza kwa visingizio vya ukosefu wa fedha.
Vi wapi vipaumbele vya nchi?!
Tulia wewe mama anawakomesha matagaIwe alikuwa anagawa mapesa barabarani, naye kasema yeye na Jiwe kitu kimoja, what do you expect
Asingekuwepo hata hivyoMzee Shivji ameniwahi, hata mimi nilitaka kuhoji "Hivi Mzee Julius kweli angekubali kupokea zawadi ya Benzi kama ile?"
Alianza mwendazake kumpa nyumba kwanza mukaufyata sasa mama anamalizia tu., kama kodi zenu zinakuume sana kavunjeni majengo ya TRA kule Zanzibar na muache kukusanya kodi ambazo zinakuja kuwasaia huko bara kulipana mishahara yenu na kujenga barabara zenu.Tulisema, Uzanzibar na ubara unatamalaki. Mkabishia. Wameanza na mapato ya muungano kwa asilimia na leo benzi, keshokutwa utasikia arume kapewa ndege.
Kama sikosei suala la viongozi wakuu wastaafu kujengewa nyumba ni suala la kisheria sio maamuzi ya mtu flani. Na Rais aliyepo madarakani anatimiza takwa hilo la kisheria."Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo."
-- Issa Shivji kupitia Twitter
Sijui kwa nini wazo la Vijana kuwa na Baraza/Jumuia yao rasmi nje ya vyama vya siasa linapuuzwa hasa na serikali.
Vijana hawawezi kuwa wamoja kupitia Jumuia za vyama kwa kuwa Jumuia hizi zinawagawa kuliko kuwaunganisha!
Magufuli alimjengea KIKWETE nyumba.
Magufuli alimjengea MWINYI nyumba.
Rais Suluhu amemnunulia MWINYI Gari la Anasa, aina ya Benz.
Hivi Marais hao wastaafu wenye kulipwa nusu ya Mishahara ya Rais aliyeko madarakani Wanashida hizo?
Hawamudu gharama?
Mr mkiki
Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.
Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.
Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji
View attachment 1778664
Na yule aliyetoa nyumba kwanza kumpa mzee mwinyi atakuwa mtu sahihi kwa wapi chooni au wapi? em kokomokaNaanza kuamini kuwa sehemu sahihi ya mwanamke ni jikoni na chumbani tu
Waoneeni huruma na Wazanzibar wanakusanya kodi kupitia TRA zinaenda kutumika kwa maendeleo ya Tanganyika tu.,Hata lingekuwa na thamani ya milioni 5, si haki kumpa huyo anayepokea posho 80% ya mshahara wa rais wakati wafanyakazi wakinyimwa nyongeza kwa visingizio vya ukosefu wa fedha.
Vi wapi vipaumbele vya nchi?!
Ok, tujulishe thamani yake wewe unayeifahamu!Ile Benz ata kama aijaonekana vizuri kutambua kama brand new au mtumba wa mwaka gani haswa; lakini kwa haraka haraka tu aina thamani ya tsh 450 million.
Hakuna mshituko. Mambo ni yaleyale. Mama keshasema: "Mimi na Magufuli ni wamoja".Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.
Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.
Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji
View attachment 1778664
Toa zawadi hata kubwa kuliko hii. Lakini kutoka wapi. Binafsi au Serikalini?Ukute Mzee Mwinyi alikua role model wa Mama Samia enzi akiwa hana hata ndoto ya uongozi. Hata ningekua mie ningetoa zawadi aiseee
Issa Shivji nae kaanza kuongea?
Alivyo jifanya bubu wakati wa Magufuli? Keshasahau?
Shivji ni communist..failed ideology...
Loliondo aliwamilikisha waarabu kwa miaka mingapi? Huyu ni mhujumu uchumi aliyetakiwa kuwa jela badala ya kulipwa pensheni na watanganyika maskini.Nyerere kutotaka zawadi yoyote hakumaanishi ndio kipimo cha mtu kutokuwa na makuu. Mzee Mwinyi alijishusha na kujiuzulu uwaziri kwa makosa yaliyofanywa na waliokuwa chini yake mwaka 1975.
Hili la Mzee Mwinyi kupewa zawadi ya gari aina ya Benz, eti tu kwa sababu ya kuonewa huruma ya tabu anayoipata wakati wa kupanda na kushuka halijakaa vizuri. Huruma ya namna hii ilipaswa kuwa ya kifamilia zaidi wala si kupitia kodi za wananchi wengi wao wakiwa ni maskini wa kutupwa.
Wote tu binadamu na tunafanya makosa. Ila pia tuna nafasi ya kujifunza kupitia makosa yetu. Rais wetu ni mtu mwema sana na mwenye upendo mkubwa, lakini jambo hili lisimfanye akapitiliza hata kwa kufanya mambo binafsi yenye kuingiliana na majukumu makubwa aliyokabidhiwa kikatiba.
wewe ni miongoni mwa watu mliokuwa mnahujumu utawala wa mzee mwinyi. chuki na fitina ni kitu kibaya sana hapa duniani, badilika.Loliondo aliwamilikisha waarabu kwa miaka mingapi? Huyu ni mhujumu uchumi aliyetakiwa kuwa jela badala ya kulipwa pensheni na watanganyika maskini.