kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
President analipwa kwa wiki hizo 8.5(mil 9),alikua analipwa kwa wiki kwa kua alikua mwongo sana watuletee mkeka wake ili nawewe usapoti matamshi yakeKama nilisikia vizuri, JPM alisema mshahara wake ni 9m, kutoka 35m ya Mkwere.
Julius naye alishusha mshahara wake, ni bunge ndo liliamua?
Wewe sasa ndo ungeanika uongo wake kwa kuweka mkeka wa yeye kulipwa kwa wiki hicho kiwango, kinyume na hapo wewe ni zaidi ya ulichosema.President analipwa kwa wiki hizo 8.5(mil 9),alikua analipwa kwa wiki kwa kua alikua mwongo sana watuletee mkeka wake ili nawewe usapoti matamshi yake
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Siungi mkono mzee Mwinyi kupewa zawadi, napinga tabia za watanzania kumeza habari kama inavyokuja zenye premise zisizo sahihi.
Ile Benz ata kama aijaonekana vizuri kutambua kama brand new au mtumba wa mwaka gani haswa; lakini kwa haraka haraka tu aina thamani ya tsh 450 million.
Mzee Shivji amesahau kuwa Mwalimu alikuwa Mjamaa ambaye alisimamia kile alichokataza wengine kufanya.Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.
Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.
Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji
View attachment 1778664
Makubwaa haya jamanii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mujue kwanza SHS Ni nani.
Ni mtoto wa mwinyi kwa yule mama mwalimu ila hawakuishi pamoja
YAAN LILE LIMAMA LINAONA UKISHAKUWA RAISI UNAJIAMULIA TU CHOCHOTE, HIZO HELA SI ANGEWAPA WAZEE KWENY KIKAO MLIMANI CITY ANGEJIPATIA BARAKAHii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.
Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.
Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji
View attachment 1778664
Unaitwa UNAFIKI WA KIMASLAHI! Je ni kiasi gani cha pesa kilitapanywa na mwendazake ma'barabarani na watu hawakuhoji?Huyu Shivji mbona aliwasaliti wazanzibar bunge la katiba alipiga kura serikali 2 wakati vitabu vyake vyote alindatika mfumo wa serikali 3 ndio bora zaidi?
Je unadhani hawakuondoka naposho ama u mgeni katika siasa na mialiko ya nchi hii?YAAN LILE LIMAMA LINAONA UKISHAKUWA RAISI UNAJIAMULIA TU CHOCHOTE, HIZO HELA SI ANGEWAPA WAZEE KWENY KIKAO MLIMANI CITY ANGEJIPATIA BARAKA
SIDHANI MAANA NI VIKAO VYA WAFANYAKAZI WA UMMA,MASHIRIKA NA VYAMA HUWA NA POSHO HIZO, PIA TUKI RECALL PALE ALIPOBABAIKA KUHUSU KUKOSA PENSION JAPO ELFU 30 WE UNAFIKIRIAJE HYO PESA INGEWEZA KU COVER MANGAPI VIJANA WANGAP LEO, MAKUNDI MAALUM MANGAP LEO YANAPAMBANA NA UCHUMI HALI MBAYA UKATUMIA NUSU BILION KWAAJILI YA GARI TU LA MSTAAFUJe unadhani hawakuondoka naposho ama u mgeni katika siasa na mialiko ya nchi hii?
Zawadi ya nyumba ni kwa mujibu wa sheria, hata kikwete amekabidhiwa ya kwake Leo.Mbona hiyo zawadi ni ndogo sana ukilinganisha na ile zawadi ya Nyumba iliyotolewa na Mwendazake.?
Wacha maisha yaendelee