Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ningeandika tofauti
imapovu yangemwagika ooh mataga ooh sukuma gang aiseee waja hamna jema
imapovu yangemwagika ooh mataga ooh sukuma gang aiseee waja hamna jema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini bunge lilikaa kubadilisha kifungu kikatiba kinachomruhusu rais kupunguziwa mshahara...Alijenga nyumba za wastaafu wote
80% ya mshahara wa aliyepo madarakani. Magu alishusha mshahara wake ili kukabiliana na huo mzigo mzito, wanahudumiwa kwa kila kitu.
Juzi kwenye mkutano wa wazee, watoto wameambiwa wawalee wazee wao.Miaka 96 na 70 kuna tofauti kubwa,
kumpa zawadi haimaanishi yeye hana uwezo ,ni kuonesha jinsi gani mnamthamini na kumpongeza kufikia umri ambao ni wachache wanapata bahati ya kuufikia
Sawa HuseinMiaka 96 na 70 kuna tofauti kubwa,
kumpa zawadi haimaanishi yeye hana uwezo ,ni kuonesha jinsi gani mnamthamini na kumpongeza kufikia umri ambao ni wachache wanapata bahati ya kuufikia
mwambie profesa.
ZAMA ZIMEBADILIKA.
Kipindi cha Nyerere sio cha Samia.
Kama nilisikia vizuri, JPM alisema mshahara wake ni 9m, kutoka 35m ya Mkwere.Lini bunge lilikaa kubadilisha kifungu kikatiba kinachomruhusu rais kupunguziwa mshahara...
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kuna watetezi wa CCM lakini "Mafao ya viongozi wastaafu yashtua"! Tujaribu kwa upande mwingine! Sio dhambi
WAKATI Watanzania kwa mamilioni wakiendelea kukosa huduma mbalimbali muhimu ikiwamo afya na njaa kutawala katika maeneo mengi nchini, imebainika kuwa viongozi wastaafu wanarundikiwa mafao. Ukubwa wa mafao hayo na posho kwa marais, makamu wa rais na mawaziri wakuu wastaafu unatajwa kuwa huenda...www.jamiiforums.com
Someni na haya ndio utoe majibu
Kuna hawa wazee bado tu wanataka tuishi kama miaka ya 80 sababu Nyerere hakufanya hivi basi sote tufanye kama Nyerere. Miaka hiyo pesa za mishahara tu ilikuwa shida.Issa Shivji nae kaanza kuongea?
Alivyo jifanya bubu wakati wa Magufuli? Keshasahau?
Shivji ni communist..failed ideology...
Sasa Kama anaweza kumpa mwenzake 460 milion, yeye anaweza kujipa shilling ngapi?Nadhani alipaswa kutoa hela zake sio umma. Yote haya bado wanatoa hela za umma tu.
Kuna watetezi wa CCM lakini "Mafao ya viongozi wastaafu yashtua"! Tujaribu kwa upande mwingine! Sio dhambi
WAKATI Watanzania kwa mamilioni wakiendelea kukosa huduma mbalimbali muhimu ikiwamo afya na njaa kutawala katika maeneo mengi nchini, imebainika kuwa viongozi wastaafu wanarundikiwa mafao. Ukubwa wa mafao hayo na posho kwa marais, makamu wa rais na mawaziri wakuu wastaafu unatajwa kuwa huenda...www.jamiiforums.com
Tumia kichwa kama pambo au mfuko wa kubebea meno
Kwa mujibu wa sheria tulizotunga wenyewe haya ni haki ya mstaafu tena gari 2 kubadilishiwa kila baada ya miaka 5 sasa mtu mzima ana miaka 96 usiposaidia leo utamsaidia lini? tusome kwanza sheria zetu tulizojiwekea wenyewe. zile nyumba JPM kawajengea kwa mujibu wa sheria kama sheria mbaya mkazibadilishe. mwacheni mzee apumzike tuacheni na viroho vya kwanini.Sheria ya Mafao ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1999, ambayo ilirekebishwa mwaka 2005, inaeleza kuwa Rais Mstaafu anapomaliza kipindi chake cha uongozi, hupata mafao ya mkupuo...