warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kibaya zaidi kuliko hilo tukio la kupewa gari ni narrative iliyofuata, hakuna ushahidi wowote ilo Benz linathamani ya tsh 450 million.
Mtu tu kaanzisha uzi wake, kalipa gari thamani yake. Watu waliopitia thread wanaamini bei iliyowekwa without supporting evidence zozote ndio sahihi.
Ili ni tatizo kubwa sana Tanzania, uwezi kuwa gullible society kiasi hiki; watu kama hawa ni rahisi sana kumeza propaganda ambazo ni anti government and a serious national security concern nchi za wenzetu.
Hata ingekua mil 9, pesa za wananchi sio pesa za kuchezewa hovyo , bora wangenunuliana huko pembeni, sasa anatuambia hili iweje? Nchi ina shida kila sehem , c bora angeenda kugawia maskin