unajiskiaje ukiingia tu mlangoni pale wodini pembeni kuna jengo la mochwari?Kwanin wanajenga mochwari mbali sana
Mafuta yatumikayo kwenye magariBaada ya kuwaza kuwaboreshea huduma waliokuwa hai badala yake anawaboreshea huduma marehemu ambao wao yameshawaishia hapa duniani.........kweli maiti zinataka stara lakini waliokuwa hai ndio wanataka stara zaidi ili waendelee kubakia kuwa hai.....
Hakika ndugu.,....sijui amewaza Nini katika hili... lakini naamini hakufikiria kwa kina au wasaidizi wake hawakumshauri vizuri...........angeboresha huduma za afya hata hizo ruti za mochwari zingepungua.........Mafuta yatumikayo kwenye magari
Mishahara walipwayo hao madereva
Service za hayo magari yatayotumika
Hizo pesa zote zingeweza fanyia kitu kizuri sana walioko hai mawodini
waandae kwanza miundo mbinu kwa ajili ya ambulance kuingia na kutoka wodini na Mortuary
Mkuu ambulances sio za kubebea maiti, inamaana kila maiti moja unayobeba ni lazima ambulance hii ikafanyiwe usafishaji wa kuondoa maambukizi maana watu tunakufa kwa maradhi mbalimbali, sasa leo ambulance ibebe maiti kesho ikabebe mgonjwa it's craze, why nchi isinunue foresinc special cars kwa ajili ya kubeba maiti tuAmbulance zipi zipo bize mkuu?niko hapa muhimbili hizo gari zimepaki hapo emagence kuna nyingine hata kuwashwa tu haijawashwa siku mbili au tatu mpk janabi anasema hayo amejua inawetekana hajakurupuka.
mkuu . alimaanisha kwamba ili kuhifadhi utu wa mtu atabebwa kwa njia za kawaida toka wodini mpaka pale chini kwenye lift kisha wanapakia kwenye gari hadi kuhifadhi,,, kuliko kumzungusha kwenye coridoUfie wodini, mwili ubebwe na ambulance kwamba hizo gari zinaingia wodini? Najua mortuary ziko huko huko ndani ya majengo.
Hawa wasomi mbona wanatuchanganya?
Sawa mkuuKwa miguu mtu atakunywa chai vikombe viwili na vitumbua vinne na kumaliza na bado hujafika
Mnyaki mwenye akili ndogo anakuzidi wewe wa kabila lingine!Nimekuelewa, ndo maana una akili kubwa kuliko wote wa kabila lako
unajiskiaje ukiingia tu mlangoni pale wodini pembeni kuna jengo la mochwari?
au wodi utakayolazwa dirisha lenu linatazamana na mlango wa mochwari!
pata kale ka feeling ukisha ka sense utapata jibu la kwanini mochwari zijengwe mbali
Hupajui muhombili,sio bugando hii jengo moja,muhimbili ni sawa na mji wa shinyanga woteUfie wodini, mwili ubebwe na ambulance kwamba hizo gari zinaingia wodini? Najua mortuary ziko huko huko ndani ya majengo.
Hawa wasomi mbona wanatuchanganya?
Hajawahi fika muhimbili,anashani ji jengo moja kama bugandoMuhimbili pakubwa pale, mortuary si ipo mbali na wodi,iko karibu na kanisani kule,mbona yupo sahihi
Hajawahi fika muhimbili,anashani ji jengo moja kama bugandoMuhimbili pakubwa pale, mortuary si ipo mbali na wodi,iko karibu na kanisani kule,mbona yupo sahihi
Unamkubali wakati Rushwa imeshaota Mizizi hapo Muhimbil Kwake aliko? Miswahili bhana.....!!!!Mwamba namkubali sana Muhimbili lazima ibadilike sana chini ya uongozi wake.
Nadhani hujui Muhimbili kulivyo, kuna baadhi ya wodi ziko mbali sana na mortuary ili kutoa urahisi kwa wafanyakazi ni bora ambulance ipark mbele ya word ibebe mwili na kupeleka mortuary kuliko kuukokota all the way kutokea eneo la wodi mpaka mortuary.Ufie wodini, mwili ubebwe na ambulance kwamba hizo gari zinaingia wodini? Najua mortuary ziko huko huko ndani ya majengo.
Hawa wasomi mbona wanatuchanganya?
Punguza ujuaji dadaangu imeota mizizi mkurugenzi akiwa nani?nenda kajionee mabadiliko yanayoendelea hapo muhimbili ndani ya wiki moja tu.Unamkubali wakati Rushwa imeshaota Mizizi hapo Muhimbil Kwake aliko? Miswahili bhana.....!!!!
sawa umwambie aisitukataze kula mainiMwamba namkubali sana Muhimbili lazima ibadilike sana chini ya uongozi wake.
nani kakuambia mtu akishakufa anaambukiza mwingine magonjwa?.Wao sio wajinga mgonjwa aliyekufa kwa gonjwa la hatari sana linaloweza kuambukiza mfano Covid,kipindupindu na ebola treatment yake lazima itakuwa ni special.Mtu kafa kwa kisukari au ajali ya gari wewe utapata maambukizi vipiMkuu ambulances sio za kubebea maiti, inamaana kila maiti moja unayobeba ni lazima ambulance hii ikafanyiwe usafishaji wa kuondoa maambukizi maana watu tunakufa kwa maradhi mbalimbali, sasa leo ambulance ibebe maiti kesho ikabebe mgonjwa it's craze, why nchi isinunue foresinc special cars kwa ajili ya kubeba maiti tu
JKCI si imepakana na mortuary ya Muhimbili. Au ni JKCI ipi ipo hiyo ndugu?Mara ya mwisho nimeenda kuchukia mwili wa ndugu yangu mochwari ilikua mbali na alipofia,kutoka jkci ni mbali zaidi