Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

What? Kaa kimya. Huyu ni mtaalamu niliyeishi naye Marekani! Amefanya makubwa Marekani. Hili ndilo ttz letu wabongo huna akili yoyote unamkosoa Pro. Jababi! Acha. Ndio maana wasomi wanaondoka. Wanabaki mazombie kama wewe. Just stop it!
Hakuna kitu hapo ana matatizo ya akili.hamna kitu hapo.amesomea wapi lishe?nyie hamtumii akili.
 
We nawe!

Mwenzio yupo vocal aki push malengo yake Fulani ya kisiasa hapo mbeleni!

Anafanya one more push aingie kama sio mjengoni somewhere else!

Hakuna daktari Alie vocal for nothing !tusubiri tuone huyu game changer atatumika ndani ya Baraza la mawaziri ku neutralize specifics!elewa neno "specifics"!
 
Janabi yuko sahihi ila ushauri wake unawafaa watanzania wachache mno. Nchi ina shida kubwa ya watu kukosa chakula cha kutosha na sio huo upotoshaji wa kuaminisha kuwa watu wanakula kupita kiasi. Janabi na wenzake wangepigania kwanza watu waweze kupata chakula cha kutosha kuanzia mashuleni, magereza na watu wote kwa ujumla. Baada ya hapo ndo aanze kutoa ushauri kuhusu mambo ya kutokula kupitiliza.
 
Thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…