gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Anaye..tena mdada wa mujini..Sophy byanakuHivi hana mke?
Go away!Kweli aisee.
Hadi Econometrician wetu ni fake, vile hatuendelei.
ndio yaani nakula kila wanachokatazwa watu wasile🤣🤣🤣 kwamba huna press wala sukari sio?
na koka baridi jui😆Wale wa chapati 3 na maharage kibakuli au supu ya mbuzi hawawezi muelewa Janabi...
Uko sawa mkuu. Diet inategemea kazi unayofanya. Sedentary people inatakiwa wale kidogo. Wanaofanya kazi nzito, wanahitaki calories nyingi.Anatupotosha sana maana hiyo lishe labda uwe kwenye pension sio upo kwenye harakati za kushusha tairi ya scania ukiitafuta Tunduma.Anataka kutengeneza Taifa la watu wadhoofu mno.
Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.
View attachment 3074304
Halafu inashangaza Mke wake haongei loloteSasa mkuu unajua nimejiuliza sana
Huwa anahimiza tusile sana
Kuna jamaa alisema wenye wake halafu unawaambia wale tende 2 kweli?
Sasa yeye naona kastaafu kote hata asipokula sawa tu
Ila sidhani hata kama anaweza jogging 🏃 let alone ......
Maji yamedominate ndani kwao sioAna mmotivate mkewe Sophia byanaku...kama sijakosea jina la mkewe..maa a mkewe alikua miss na yupo slim mpk leo hii..nadhani ndani kwao maji ndo yamedominate which is good..natamani kuiga hiyo hali sema njaa sasa haitaniacha salama
Mke wa Kiza BedigyeAnaye..tena mdada wa mujini..Sophy byanaku
Ok!Ni wewe usiye na elimu
Ni kweli chakula kinategemeana na kazi na umri wa muhusika. Kwa kazi yake ya kukaa ambayo hata jasho halitoki aendelee kula hivyo. Na wenye shughuli zinazohitaji nguvu wataendelea kupata Milo sawiaAnatupotosha sana maana hiyo lishe labda uwe kwenye pension sio upo kwenye harakati za kushusha tairi ya scania ukiitafuta Tunduma.Anataka kutengeneza Taifa la watu wadhoofu mno.
Thank you. Humunkuna wataalam mbalimbali na ni vizuri kielimishana kwa upendo. Anayemshambulia Prof. Janabi tumhurumie kwa uduninwa elimu yake. Ni hivyo. Haina ubishaniYupo sahihi sanaa
Nut size 12 mbali huko huyo Mtungi wa gesi ule wa kati hawezi kushusha..Nina hakika hata akibembea kwenye ndimbo nut haistuki hata kidogo, huyo size 12 ya ukikaza vizuri afungui abadani 😂
Prof Janabi ana tatizo, namuunga mkono mleta hoja. Hiyo anayoiita diet inaweza kufanya kazi kwa sehemu ndogo sana ya population ya Tanzania. Nchi ambayo hata uhakika wa mlo kwa wengi ni tabu, unaanza na ngonjera za diet uchwara, nchi ambayo watu walio wengi wanaishi kwa kazi za suluba, unaleta maneno uchwara tu. Ukipata muda tafuta video clip za Dr. Chidi Ngwaba, huyu ndiye anaelezea masuala ya diet na madhara yake kwa uzuri kabisaMkuu nadhani wewe ndo unamatatizo ya kisaikolojia. Professor Janabi ni hazina. Na siyo professor Janabi kila mtu ana jukumu la kuelimisha na kuhamasisha wengine kuhusu afya ya ulaji. Nenda Japan huko ujionee. Professor alazimishi taifa lazima kuishi maisha ya afya. Ndo maana IQ zetu dhoofu zina mushkel
Naachia wajanja butu wa elimu. Pambaneni na Prof janabi kama mtaweza!Prof Janabi ana tatizo, namuunga mkono mleta hoja. Hiyo anayoiita diet inaweza kufanya kazi kwa sehemu ndogo sana ya population ya Tanzania. Nchi ambayo hata uhakika wa mlo kwa wengi ni tabu, unaanza na ngonjera za diet uchwara, nchi ambayo watu walio wengi wanaishi kwa kazi za suluba, unaleta maneno uchwara tu. Ukipata muda tafuta video clip za Dr. Chidi Ngwaba, huyu ndiye anaelezea masuala ya diet na madhara yake kwa uzuri kabisa
Issue sio kupambana naye, unachoshindwa kujua ni kuwa nchi hii kuna wataalamu wabobevu wa lishe, wanaojua mara 1000 ya huyo Janabi. Yeye ni mbobevu kwenye magonjwa ya moyo, apunguze ujuaji sasa. Hata mwonekano wake unaonyesha kuwa afya yake si nzuri sana.Naachia wajanja butu wa elimu. Pambaneni na Prof janabi kama mtaweza!