Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ule majani ukabebe zege?Kwenye food intake kula nusu ya ugali and then ongeza kiwango cha mboga za majani ambazo hazina mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule majani ukabebe zege?Kwenye food intake kula nusu ya ugali and then ongeza kiwango cha mboga za majani ambazo hazina mafuta.
Hawezi kuwa sawa huyo!!Huyu mbona anaonekana Hana hata damu ya kutosha...
Tizameni kiganja chake kilivyo pale..
True that...Hawezi kuwa sawa huyo!!
Top jobs top death's!!huwezi ukawa high profile doctor Tena wa kitengo uhai wako.wasi ucontrol
[emoji16][emoji16][emoji16]Dec atakua 98.
He looks very youngMkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo;
1. Tembea hatua 10,000 kwa siku
2. Kula kwa wastani
3. Punguza wanga
4. Epuka vitu vyenye sukari
5. Epuka sigara, pombe
7. Pata muda kidogo wa kupumzika
Akaongezea, vitu hivyo haviitaji hata senti 5 ya gharama. Akasema tena watu hawafi kwa sababu ni wazee, watu wanakufa kwa sababu ni wagonjwa, ukisoma vitabu vya dini watu walikuwa wanaishi miaka zaidi ya 100.
Leo hii unaweza kukutana na mtu anamiaka 40 na mwingine 30 ukafikiri yule mwenye miaka 30 ndio ana miaka 45.
Sikiliza zaidi.
View attachment 2955861
Unajuaje ndiyo yaliyompa Uprofessor?Yani profesa mzima Na usomi wake wote anavaa hayo mauchafu
Hebu fikiria, choka mbaya anatoka mwabepande kwa mguu mpaka kariakoo, hapo tayari ni zaidi ya hatua 10,000Janabi anaeleweka vizuri kwa watu wa high class life, watu choka mbaya life hawatamuelewa kwa sababu vitu hivyo/vyakula hivyo huvipata kwa bahati/nadra sana, na wakivipata huvifakamia kwa kuvila wakidhani hawatavipata tena kwa muda wote
Km 10Kwa hiyo hatua 10k ni sawa na kilometa ngapi kwa wastani walau nianze jaramba na mimi.
Na hizi za Remmy Ongala ni za nini?Dada,
Unakuta mtu ameyavaa kama sita hivi, kuna za bahati, mara kufukuza majini, mara za kuita majini mazuri n.k 🤣
Ushamba tu
Kuna ka ukweli kwa mbaliSema mtu asipokunywa pombe anakuwa na karoho kabaya kamejikunja muda wote korosho ikasome
Wabongo hamkopeshi mtu,makavuu live live!![emoji23][emoji23]Kwa hizo mbinu ningetegemea Janabi awe na babe face lakini yeye ndio amekongoroka na ngozi kupauka kama ya marehemu ama kama vile ana miaka 90.
Janabi aache watu waishi. Kuchukua tahadhari za kawaida kwenye maisha ni jambo jema ila Janabi anataka tuwe extreme, ngozi zetu zikose nuru kama marehemu haiwezekani.
Jamani siyo vizuri hivyo,Prof wenu huyo!!!Hiyo suti ilivyomkaa kama kibonzo