Hapa namuunga mkono
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Professor Amekosa Afya Hana Nuru Kabisa, Sasa Ulaji Gani HuoAsubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Wanalazimisha kunywa majiHalafu unakuta mtu kama huyu anakuja pata kitu kizito mpaka ashangae
NProfessor Amekosa Afya Hana Nuru Kabisa, Sasa Ulaji Gani Huo
Utaweza Kwenda Shamba Kulima
Yaani yupo hoiProfessor Amekosa Afya Hana Nuru Kabisa, Sasa Ulaji Gani Huo
Utaweza Kwenda Shamba Kulima
Usiku kinatumikaYupo sahihi
Ila kiukweli katika mambo ambayo wabongo tumeshindwa ni kuacha kula sana usiku..
Usiku mtu anafukia utafikiri anakwenda kupakia mawe..mwishowe ni kuota ndoto mbaya za kukabwa na wachawi..kumbe umevimbiwa
Usiku unatakiwa ule kidogo tena chakula laini au ule tunda ulale..
Kaka mkubwa hapa una point kwa mtu wa kukaa maofisini ulaji wa janabi sahihi ila kwa makuli wa bandar waachane na huyu.wanamichezo hata sukari ya chakula haaitoshi uwanjabi huwa wanalamba gram 50 za sukari ndo wanaingi ulingoniProfessor Amekosa Afya Hana Nuru Kabisa, Sasa Ulaji Gani Huo
Utaweza Kwenda Shamba Kulima
Sukari sio muhimu jielimishe kwanza.Huyu mzee kuna vitu anatupotosha sana binafsi simtilii sana tangu alipotoa kauli sukari si muhimu