Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Kama wakojavko alikufa, mtu ambaye alishaa daa hadi mtu wa kudonate moyo na mafigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu amewahi dakwa na kamera akikandamiza pilau sawasawa na machapati ila akieda kwa media anahamasisha kutokula
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
💪💪💪Nishindie matango na yai halafu ninamiliki mshangazi.......bwana we
Ulaji huo mkeo unawakabidhi wahuni wamzagamue watakavyoAsubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Una fikra za kijima sana, unawaza jembe la mkono la kumaskini. Kilimo siyo mabavu ule ujima.Professor Amekosa Afya Hana Nuru Kabisa, Sasa Ulaji Gani Huo
Utaweza Kwenda Shamba Kulima
Ona mwili wake ulivojikunja.
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Na tutawapigia wake zao sana, na wakileta ugomvi ni kuwazamba ngumi tu sababu hawana hata energy ya kukwepaUlaji huo mkeo unawakabidhi wahuni wamzagamue watakavyo
Kakwambia ana njaa hadi apate vidonda vya tumbo?Anavijua vidonda vya tumbo huyo?
Mkuu sukari ina umuhimu wake tusidanganyane ila tuambie tuwe na kiasi sukari is more than tea tuna matumizi nayo mengiSukari sio muhimu jielimishe kwanza.
Ana kitu kinamsumbua shauri yenu...Professor Amekosa Afya Hana Nuru Kabisa, Sasa Ulaji Gani Huo
Utaweza Kwenda Shamba Kulima
Huwa siwaamini watu kama hawa , kuna jamaa anaitwa Dr Mkumbo na yeye ana mwili kama kagame yaani mwili umemkataa ,wao kwakuwa miili imewakataa hata wale vipi basi wanatumia loophole ya mwili kuwakataa kutoa mafunzo ya lishe.
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
𝗡𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗺𝗸𝘂𝘂 𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶 𝗵𝗮𝗶𝗻𝗮 𝘂𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝘀𝗮𝗻𝗮,, 𝗷𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗵𝗮𝘁𝗮 𝗸𝘂 𝗴𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝘁𝘂 𝗳𝘂𝗻𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 𝘇𝗮 𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶 𝗺𝘄𝗶𝗹𝗶𝗻𝗶, 𝗻𝗮𝘇𝗮𝗻𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗼𝗻𝗮 𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗮 𝗵𝗮𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘂𝗺𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝘄𝗼𝘄𝗼𝘁𝗲.Huyu mzee kuna vitu anatupotosha sana binafsi simtilii maanani tangu alipotoa kauli sukari si muhimu
Kuna mambo mengine hutokea kwa sababu ya umaskini. Umaskini ni mbaya sana. Ukiwa maskini huwezi kupangilia mlo wako kwa sababu kwanza kazi unazofanya zinahitaji ule sana na vyakula unavyopata siyo vya kuchagua bali ni vile unavyobahatika kuvipata. Tatizo kubwa ni kuwa mtu anatoa ushauri kwa ku-base maisha anayoishi yeye na siyo hali halisi ya nchi.Yupo sahihi
Ila kiukweli katika mambo ambayo wabongo tumeshindwa ni kuacha kula sana usiku..
Usiku mtu anafukia utafikiri anakwenda kupakia mawe..mwishowe ni kuota ndoto mbaya za kukabwa na wachawi..kumbe umevimbiwa
Usiku unatakiwa ule kidogo tena chakula laini au ule tunda ulale..