Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Mbona wengi wenye mentality kama yangu walĺikamata, wamekamata na watakamata hela ndefu tu. Sasa hela bila ngono inafaida gani si ufe tu. Raha ya hela nikutandaza miti at will. Twenty four hours of massive and aggressive fakin.
Na hela kubwa hutaipata. Hao wanao tandaza miti haswaa ukute ni maagizo ya hela zao. Na wengine ndio mwisho huwa mbaya. Km kina Mr Nice
 
Imagine B ya wakati ule
Aisee hela ilikuwa ndefu sana hio, na Mr.Nice alikuwa na connection nzuri sana East Africa hasa Nairobi ikampeleka Ulaya kirahisi 😂😂😂 na kule ndio alizikung'uta dollar za maana. Sina shaka na yeye kumiliki 1B maana show za nje alifanya nyingi tu.

Yani kama kuna msanii alipata hela kwa haraka nafikiri ni Mr.Nice sababu ujio wake ulikuwa wa ghafla na akaisha ghafla. Naweza fananisha na ujio wa Ommy dimpoz kipindi kile.

Sema ulimbukeni ulimcost maskini alikuwa mchaga mpumbavu mwenye bad spending.😂😂😂 na zama zile trend ni kuwa na wapambe nuksi halafu tayari ni msanii mtu flani special sio kama sikuhizi msaani sio kitu cha ajabu. Tunaishi nao tu.
 
Pesa wakati ule ilikuwepo bana,Mimi baba mkubwa wangu alikuwa anampa mkewe maburungutu ya pesa briefcase imejaa apeleke Bank
Yule Mzee alikuwa na magari kibao,pesa ilikuwepo,wachache walikuwa nayo,wasanii na viongozi
Pesa ilikuwepo haswa sababu teknolojia ilikuwa chini so watu waliokuwa wanatoboa walikuwa wanapiga hela haswaa! Hasa ambao walijimix Nairobi walifunguka haraka kwenda International. Huku wazawa wengi tukiwa gizani.

Yani mfano miaka ile kwa wasanii kupata 1-10M ilikuwa jambo la kawaida sana. Ndipo kina fella waliptajirikia humo. Show ya million 100 wanagawa 50M wao wanakula cha juu.
 
Hili TID alishawahi kulisema kupata M5-10 wakati ule lilikuwa jambo la kawaida Sana tena Sana lakini ndio hivyo wote hakuna aliyewekeza zaidi ya anasa tu.
 
Mbona wengi wenye mentality kama yangu walĺikamata, wamekamata na watakamata hela ndefu tu. Sasa hela bila ngono inafaida gani si ufe tu. Raha ya hela nikutandaza miti at will. Twenty four hours of massive and aggressive fakin.

Wenye hela wengi sana wanafanya ngono tena na watoto wa underage...ukiwa na hela nyingi utafanya tu ujinga. Soma mlolongo wa watu aliokuwa nao karibu bwana Jeffrey Epstein ni matajiri tupu na wengine wamefichwa tu utajua sasa ujinga wa utajiri.

Mwangalie pia Mfalme David, Solomoni walifanya kitu gani kutokana na power na utajiri.
 
Ray c alipelekwa gongo la mboto akanunue eneo kipindi hcho akasema porini leo hii hata shamba analitafuta maisha haya ila sasa hivi ma staa wetu wameshtuka kina
mzeeYusuph
nurueli
ajib,
tshabalala
philipe mpango
siro
na late masaburi wamejenga na kuwekeza chanika huko ndani ndani.
 
Mondi Wameshamshindwa
 
Kitu kimoja ambacho hua tunasahau ni kwamba, kuwa na kipaji km mziki, uigizaji, michezo nk haimaanishi kuwa mtu huyo pia ana AKILI! Na hata pale wanapoweka ma meneja mara nyingi unakuta mameneja nao wanawazunguka na kuwapiga hivyo wengi kuishia kwenye umasikini.

Mike Tyson miaka ya 90 alikua na utajiri unaokadiriwa kufikia USD 450,000,000 (zaidi ya Tsh Trilioni 1) lakini yeye na Don King walizichezea zote mpaka jamaa akafilisika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…