Prof. Kabudi afafanua serikali tatu katika Jenerali on Monday

Asema kazi za waziri mkuu sasa ndio zapaswa kuwa majukumu ya Rais wa Tanganyika ajaye kama jinsi Rais wa smz afanyavyo
 
Aeleza jinsi walivyojifunza kuhisu muungano wa Ujerumani na yle wa uliokuwa wa Ghana, Guinea na senegal
 
Asema kazi za waziri mkuu sasa ndio zapaswa kuwa majukumu ya Rais wa Tanganyika ajaye kama jinsi Rais wa smz afanyavyo

Nipo namfatilia. Kwa jinsi anavyochambua hyo rasimu ya pili ya katiba ni ngumu sana kwa mwananchi wa kawaida kuielewa.. Too complicative..

Waziri mkaazi..!!??

Wat tha hell is this??

Sidhani kama hii ratiba ita restore amani inayopotea.
 
Ulimwengu anauliza kwanini tusiwe na nawaziri wakuu wa Tanganyika na zanzibar badala ya kuwa na marais watatu?
Kabudi asema jina sio hoja kuwa rais au waziri mkuu, lakini madaraka ndio la msingi. Asema hata yeye aliwahi kushauri jina rais lifutwe kabisa na badala yake aitwe Mtwa au Mkulu. Asisitiza sio hoja jina bali madaraka kwani marais wa tanganyika na zanzibar hawatapigiwa mizinga 21 bali 19 sababu wao sio amiri jeshi wakuu
 
Hebu soma katiba utaelewa vema dhana ya waziri mkaazi imeelezwa vizuri. Ni sawa na waziri wa sasa ofisi ya VP anaeshughulikia muungano
 
Kabudi: Wale wanaotaka na kulilia madaraka ndio wanaohofia serikali tatu pasipo hoja ya msingi lakini wapenda maendeleo hawana hofu na serikali tatu na wanaunga mkono serikali tatu
 
Awadhi: Wingi wa serikali hauwezi kuwa chanzo cha gharama. Waweza kuwa na serikali moja na ukawa na gharama kubwa zaidi. (Huyu alikuwa ni mjumbe wa tume toka zanzibar)
 
Nimefurahishwa na mfano wa kuelezea gharama katika serikali na nimetambua CCM ni wavivu wa kufikiri kwa kuleta hoja ya gharama katika kuendesha serikali tatu

Awadhi anaongea vizuri sana kuhusu hili la gharama. So educative!
 
Swala la mgawanyo wa utawala kwa zamu kidogo lina kigugumizi
 
Ulimwengu anauliza kwanini tusiwe na nawaziri wakuu wa Tanganyika na zanzibar badala ya kuwa na marais watatu?
Kabudi asema jina sio hoja kuwa rais au waziri mkuu, lakini madaraka ndio la msingi. Asema hata yeye aliwahi kushauri jina rais lifutwe kabisa na badala yake aitwe Mtwa au Mkulu. Asisitiza sio hoja jina bali madaraka kwani marais wa tanganyika na zanzibar hawatapigiwa mizinga 21 bali 19 sababu wao sio amiri jeshi wakuu

Hapo kwenye red haikubaliki! Mtawala wa Tanganyika, taifa lile kuu, hatapigiwa mizinga 21? Tukatae ujinga huu, Kiongozi wa Tanganyika lazima apate heshima anayostahili; Tanganyika ndiyo itakayolisha muungano kwa kila kitu, kuanzia watoto kwenda chooni hadi ulinzi dhidi ya maadui wa nje - halafu nini? Sielewi!
 
Mkuu swala la ulinzi na usalama ni.la muungano hivyo amiri jeshi mkuu ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na huyo ndie pekee anayeatahili 21 gun salute! Hata leo Rais wa smz hapigiwi mizinga 21 bali 19 sababu yeye sio amiri jeshi mkuu
 
Hapo kwenye red haikubaliki! Mtawala wa Tanganyika, taifa lile kuu, hatapigiwa mizinga 21? Tukatae ujinga huu, Kiongozi wa Tanganyika lazima apate heshima anayostahili; Tanganyika ndiyo itakayolisha muungano kwa kila kitu, kuanzia watoto kwenda chooni hadi ulinzi dhidi ya maadui wa nje - halafu nini? Sielewi!

kwa mtazamo wangu wa mbali, muungano wa aina hii hauna mda mrefu utakufa. KWA NINI???, kwa sababu
1.kama katiba inatambua zenj and tanganyika ni nchi zenye hadhi sawa, basi hata kwenye kuuhudumia muungano michango yake lazima iwe sawa. hili nina mashaka kama wazenj hasa maalim sef kama litaingia akilini
2. Marais wa nchi washirika hawana dola, majeshi ya ulinzi na usalama yapo muungano. sipati picha mkuu wa mkoa anahitaji FFU kuna ishu moania, inabidi aombe polisi muungano. Jeshi la magereza liwe muungano alaf magereza yenyewe yakuwa wapi?????
3. uchu wa madaraka wa abongo, hasa wazenji wanaodai mamlaka kamili, itakuwaje mamlaka bila dola
ikipita inaingia mgogoro mwingine
 
Back
Top Bottom