Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
Anaendelea na kipindi now. Anasema baadhi ya watu wanaona serikali mbili kama ushirikina au dogma ya kila kitu katika tanzania kitu ambacho sio sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asema kazi za waziri mkuu sasa ndio zapaswa kuwa majukumu ya Rais wa Tanganyika ajaye kama jinsi Rais wa smz afanyavyo
Nipo namfatilia. Kwa jinsi anavyochambua hyo rasimu ya pili ya katiba ni ngumu sana kwa mwananchi wa kawaida kuielewa.. Too complicative..
Waziri mkaazi..!!??
Wat tha hell is this??
Sidhani kama hii ratiba ita restore amani inayopotea.
asante kwa taarifa ya maana kuliko za kibaraka wa ccm
Nimefurahishwa na mfano wa kuelezea gharama katika serikali na nimetambua CCM ni wavivu wa kufikiri kwa kuleta hoja ya gharama katika kuendesha serikali tatu
Ulimwengu anauliza kwanini tusiwe na nawaziri wakuu wa Tanganyika na zanzibar badala ya kuwa na marais watatu?
Kabudi asema jina sio hoja kuwa rais au waziri mkuu, lakini madaraka ndio la msingi. Asema hata yeye aliwahi kushauri jina rais lifutwe kabisa na badala yake aitwe Mtwa au Mkulu. Asisitiza sio hoja jina bali madaraka kwani marais wa tanganyika na zanzibar hawatapigiwa mizinga 21 bali 19 sababu wao sio amiri jeshi wakuu
Hapo kwenye red haikubaliki! Mtawala wa Tanganyika, taifa lile kuu, hatapigiwa mizinga 21? Tukatae ujinga huu, Kiongozi wa Tanganyika lazima apate heshima anayostahili; Tanganyika ndiyo itakayolisha muungano kwa kila kitu, kuanzia watoto kwenda chooni hadi ulinzi dhidi ya maadui wa nje - halafu nini? Sielewi!
Serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo! UKITUKANA BILA HOJA HAIRAIDII.
Hapo kwenye red haikubaliki! Mtawala wa Tanganyika, taifa lile kuu, hatapigiwa mizinga 21? Tukatae ujinga huu, Kiongozi wa Tanganyika lazima apate heshima anayostahili; Tanganyika ndiyo itakayolisha muungano kwa kila kitu, kuanzia watoto kwenda chooni hadi ulinzi dhidi ya maadui wa nje - halafu nini? Sielewi!
serikali tatu ni wazo la kijinga sijapata kuona!!
Na kama tukikubali muundo wa hivyo tutakuwa mazumbukuku tusio na uti wa mgongo!!