Prof. Kabudi apata ajali Morogoro, amelazwa Hospitali ya Rufaa na hali yake ni nzuri

Prof. Kabudi apata ajali Morogoro, amelazwa Hospitali ya Rufaa na hali yake ni nzuri

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro

Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro


 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Paramagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro

Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro

===
View attachment 1600004
Kabudi yupi Professa wa Constitutional law au

Kabudi wa Tume ya mabadiliko ya katiba au

Kabudi wa kutoka jalalani au

Kabudi wa Barrick na manhattan

Unaongelea kabudi yupi
 
Huyo mmasai ndo wale wakiambiwa watotoe salamu msibani wana anza kwa kusema ' msiba oyeeee' yaani CCM iemeharibu sana hawa morani yetu. Yaani siyo wale walokuwa wakakamafu kipindi akiwa fijana. Woooi sheeee
 
Pole yake, itakuwa kuna watu huko jimboni kwake hawajaridhika naye.

Kilosa ni wilaya ya zamani sana, ina rasilimali za kutosha, matajiri wengi wametokea huko. Ila sasa ni wilaya na jimbo lenye fitina, unafiki na ulozi, Gamboshi itasubiri.

Prof aende akawashukuru wale wajumbe. Kama hajafanya hivyo.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom