The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Unamaanisha Lissu
Unamaanisha Lissu
Angekuwa salama sana wangesema kwa ufupi kuwa wamesalimika au wamepata majeraha madogo madogo.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Paramagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
===
View attachment 1600004
Mkuu umesahau itikadi hizi zimeeletwa na wao. Huko Kilimanjaro, Tarime, Geita, Tunduma watu wanauguza majeraha makali na wengine wameuawa huko Singida kwa itikadi za kiccm dhidi ya wapinzaniTusifikie huko Mkuu, huyu ni binadamu kama sisi pia, pamoja na tofauti zetu za itikadi za vyama
Can two wrongs make one right? Kama wao ndio walianza basi msiwe kama wao. Wafundisheni utu na ubinadamu mtakua mmewasaidia sana. Ikiwezekana nendeni hata hospitali mkamjulie hali isije ikaonekana nyie hamna tofauti na waoMkuu umesahau itikadi hizi zimeeletwa na wao. Huko Kilimanjaro, tarime, Geita, Tunduma watu wanauguza majeraha makali na wengine wameuawa huko singida kwa itikadi za kiccm dhidi ya wapinzani
Acha unafiki utakupeleaka motoni.
Acha na yeye aonje japo kidogo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rc anasema eti anawaambia watz wasiwe na wasiwasi eti waziri anaendelea vizuri,yaan tuwe na wasiwasi na huyo mchumia tumbo Kwan ana faida gani kwa Taifa aisee huyu Rc hayuko serious
Na wengine tunaona bora Israel mtoa roho angefanya yake hapo maana majitu aina yake ndio yanalirudisha nyuma hili Taifa.Rc anasema eti anawaambia watz wasiwe na wasiwasi eti waziri anaendelea vizuri,yaan tuwe na wasiwasi na huyo mchumia tumbo Kwan ana faida gani kwa Taifa aisee huyu Rc hayuko serious
Waliasisi uadui sasa umetamalakiCan two wrongs make one right? Kama wao ndio walianza basi msiwe kama wao. Wafundisheni utu na ubinadamu mtakua mmewasaidia sana. Ikiwezekana nendeni hata hospitali mkamjulie hali isije ikaonekana nyie hamna tofauti na wao
Pole sana Prof Kabudi. Ila ule ushauri mliompa Mzee Baba kutelekeza mbio za mwenge utawagharimu sana. Siku zote ni lazima mkumbuke kuwa Ibilisi hana rafiki wa kudumu, isipokuwa ana maslahi ya kudumu na watu waovu.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
View attachment 1600004
Mamba anaelimika?Can two wrongs make one right? Kama wao ndio walianza basi msiwe kama wao. Wafundisheni utu na ubinadamu mtakua mmewasaidia sana. Ikiwezekana nendeni hata hospitali mkamjulie hali isije ikaonekana nyie hamna tofauti na wao
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.Can two wrongs make one right? Kama wao ndio walianza basi msiwe kama wao. Wafundisheni utu na ubinadamu mtakua mmewasaidia sana. Ikiwezekana nendeni hata hospitali mkamjulie hali isije ikaonekana nyie hamna tofauti na wao