Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Unashangaa kwasababu huijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.mimi na wewe tushangae😲
Unashangaa kwasababu huijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.mimi na wewe tushangae😲
EMBU LETENI TAARIFA ZAMAANA unakumbuka alisema nn kuhusu katiba maya na leo anafanya nn Chakumbanga na huyu......Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
View attachment 1600004
Siku hizi wanasuka dada zetu huku mjini,chama kimewaharibu sana mkuu.Huyo mmasai ndo wale wakiambiwa watotoe salamu msibani wana anza kwa kusema ' msiba oyeeee' yaani CCM iemeharibu sana hawa morani yetu. Yaani siyo wale walokuwa wakakamafu kipindi akiwa fijana. Woooi sheeee
Hawa watu uwaziri wao unakoma lini?
Wewe unachumia nini, kama siyo tumbo! Wote tunahangaika na kazi ili tule! Don't tell me otherwise.Rc anasema eti anawaambia watanzania wasiwe na wasiwasi eti waziri anaendelea vizuri, yaani tuwe na wasiwasi na huyo mchumia tumbo Kwani ana faida gani kwa Taifa aisee huyu Rc hayuko serious
Hayo alikuambia nani kama si umbea.Ndio maana Prof Shivji hakutaka makuu. Kaamua kustaafu zake kwa heshima kabisa pamoja na offer kibao alizokua anapata ikiwa ni miongoni mwazo ni kupewa nafasi ya kisiasa
Usiyoyajua wewe wenzako wanayajua. Akili, busara, ujanja, werevu na ustaarabu ni kuuliza na sio kukanaHayo alikuambia nani kama si umbea.
Lissu atakapokuwa rais October 28.Hawa watu uwaziri wao unakoma lini?
R.I.P. Kabudi. Ooh sorry. Pona kidogokidogo!Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
View attachment 1600004
Kabudi wa Juice za MadagascarKabudi yupi Professa wa Constitutional law au
Kabudi wa Tume ya mabadiliko ya katiba au
Kabudi wa kutoka jalalani au
Kabudi wa Barrick na manhattan
Unaongelea kabudi yupi
Alipaswa aondoke kabisaMzee wa kupita bila kupingwa ajitafakari sasa vinginevyo Israel atafanya yake
Yaani hapa ndo umeongea nini?Huyo mmasai ndo wale wakiambiwa watotoe salamu msibani wana anza kwa kusema ' msiba oyeeee' yaani CCM iemeharibu sana hawa morani yetu. Yaani siyo wale walokuwa wakakamafu kipindi akiwa fijana. Woooi sheeee
Dah! Kama Prof au ndugu na jamaa zake watapitia uzi huu wataumia sanaAlipaswa aondoke kabisa
Sawa tu hakuna namnaDah! Kama Prof au ndugu na jamaa zake watapitia uzi huu wataumia sana