Ya USA ipoje naona Trump na Pompeo Bado wanadunda au ya UK kunakuwa hakuna serikali Bunge likivunjwaUbovu wa Katiba Mkuu, haifai ina mapungufu ambayo yanatumika vibaya na wenye nia ovu au kwa maslahi yao binafsi.
Ya USA ipoje naona Trump na Pompeo Bado wanadunda au ya UK kunakuwa hakuna serikali Bunge likivunjwaUbovu wa Katiba Mkuu, haifai ina mapungufu ambayo yanatumika vibaya na wenye nia ovu au kwa maslahi yao binafsi.
USA ina mawaziri wanaochaguliwa na Rais kutokana na umahiri wao kwenye nyanja za utaalamu au uzoefu. Hawatoki ndani ya wabunge. Wabunge wa kule wako kwenye Bunge kubwa (senate) au dogo (congress) na kazi yao ni kutungwa sheria na kuifanyia Serikali check and balance.Ya USA ipoje naona Trump na Pompeo Bado wanadunda au ya UK kunakuwa hakuna serikali Bunge likivunjwa
Ndiyo maana jamaa wanamaendeleo makubwaUSA ina mawaziri wanaochaguliwa na Rais kutokana na umahiri wao kwenye nyanja za utaalamu au uzoefu. Hawatoki ndani ya wabunge. Wabunge wa kule wako kwenye Bunge kubwa (senate) au dogo (congress) na kazi yao ni kutungwa sheria na kuifanyia Serikali check and balance.
Vile vile USA wananchi huchagua magavana ambao ndiyo kama wakuu wa mikoa kwetu
Naunga mkono hojaBado mzima?? Dah angetnglia tu pumbavu
Upo sahihi mkuu tuna utawala wa hovyo sn, bora tuwe na hospitali chache zenye vifaa kuliko kuwa na majengo matupuHospitali hazina hata MRI!! hapo hadi kwenda Muhimbili halafu mtu anatamba eti amejenga mahospitali wakati ni majengo matupu.
Ni jambo la kushangaza na la aibu kuwa hospitali kubwa kama Bugando haina MRI Machine wakati kliniki ya binafsi kama Kamanga inayo lakini bado mtu anasimama jukwaani bila aibu anatamba kuwa ameboresha huduma za afya..!!
Kabudi hapo akizidiwa atapelekwa Muhimbili au hata SA au India lkn wananchi wa Morogoro wao wakizidiwa labda waende kupigiwa ramli Mgeta au Matombo maanake ndio rufaa walio na uwezo nao. One country two worlds.
Hivi likitokea jambo linalohusu wizara ya habari na michezo je Mwakyembe atahusishwa wakati wajumbe walishafanya yao?Kuna kitu tunakosea. Kwa Tanzania yetu Waziri ni lazima awe Mbunge. Hatuna Mbunge kwa sasa. Hawa hawapaswi kuendelea kuwa Mawaziri
Hapo sasa!Hivi likitokea jambo linalohusu wizara ya habari na michezo je Mwakyembe atahusishwa wakati wajumbe walishafanya yao?
Kabudi yupi Professa wa Constitutional law au
Kabudi wa Tume ya mabadiliko ya katiba au
Kabudi wa kutoka jalalani au
Kabudi wa Barrick na manhattan
Unaongelea kabudi yupi
Katiba mbovu snAnakuwaje waziri kipindi hiki?!
Nileteeeni GwajimaaaaaaAlichoma mafuta ya bure mpaka Madagaska,wakagawana posho,wakanunua soda kule,wakaipima...majibu yanasemaje??