Maccm yana roho ngumu kama paka, shenzzzHaya majamaa ya ccm magumu sana kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maccm yana roho ngumu kama paka, shenzzzHaya majamaa ya ccm magumu sana kufa
Nileteeeni GwajimaaaaaaAnakuwaje waziri kipindi hiki?!
Asante kwa taarifa nzuri iliyojaa matumainiMheshimiwa anaendelea vizuri ,
Yesu Kristo amponye!
Atakuwa namba 3 labda. [emoji2955]Kabudi yupi Professa wa Constitutional law au
Kabudi wa Tume ya mabadiliko ya katiba au
Kabudi wa kutoka jalalani au
Kabudi wa Barrick na manhattan
Unaongelea kabudi yupi
Uwaziri wa mileleHawa watu uwaziri wao unakoma lini?
Tunampa pole
Katiba yetu ndio shida, maana inasema mtu hawezi kuwa waziri hadi awe mbunge na tz hakuna mbunge hata mmoja sasa waziri anatoka wapi?Nimeshangaa mtu kama Kigogo2014 anashindwa kutambua kwamba mawaziri bado wapo kwenye nafasi zao hadi pale Rais mpya atakapoapishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
View attachment 1600004