Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kabudi yupi Professa wa Constitutional law auWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Paramagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
===
View attachment 1600004
mimi na wewe tushangae😲Hawa watu uwaziri wao unakoma lini?
Nimeshangaa mtu kama Kigogo2014 anashindwa kutambua kwamba mawaziri bado wapo kwenye nafasi zao hadi pale Rais mpya atakapoapishwa.Hawa watu uwaziri wao unakoma lini?
Nimeshangaa mtu kama Kigogo2014 anashindwa kutambua kwamba mawaziri bado wapo kwenye nafasi zao hadi pale Rais mpya atakapoapishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu tunakosea. Kwa Tanzania yetu Waziri ni lazima awe Mbunge. Hatuna Mbunge kwa sasa. Hawa hawapaswi kuendelea kuwa Mawaziri
Katiba mpya ya wananchi itapatikana siku wananchi wa tanzania tukiacha uoga wa kipumbavuHuo ndio ubovu wa Katiba ya CCM.
Kuna kitu tunakosea. Kwa Tanzania yetu Waziri ni lazima awe Mbunge. Hatuna Mbunge kwa sasa. Hawa hawapaswi kuendelea kuwa Mawaziri
Sasa Katiba yetu hiyo hiyo inaendelea kuwatambua wakina mimacho Kabudi kama mawaziri hata kama bunge limevunjwa.Kuna kitu tunakosea. Kwa Tanzania yetu Waziri ni lazima awe Mbunge. Hatuna Mbunge kwa sasa. Hawa hawapaswi kuendelea kuwa Mawaziri