Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Kwanini hakukamata Dreamliner USA? Hii ni ndege ya pili inakamatwa Canada.
 
Hawezi huko ni maji marefu, hakuna wa kuogopa mimacho yake kule. Pili yeye ni mnobezi kwenye ualimu wa sheria na siyo Mahakamani.

Mahakamani hathubutu tu hata kusimama na John Mallya au Jebra Kambole
 
Kama mliwahonga majaji wa south mkashinda(rejea kesi ya marehemu masogange aliyekamatwa na gunia la sembe south africa na akaachiwa huru), Majaji wa Canada hawaongeki ,jiandaeni kulipa deni.
Nani alikwambia Masogange alikamatwa na gunia la sembe?
 
Tuachane nao hao wakanada twende nchi zingine na hizo mbinu zinafanywa na kanada au tuvunje uhusiano nao na tumrudishe balozi
 
Nani alikwambia Masogange alikamatwa na gunia la sembe?
Ripoti ya awali kutoka Afrika Kusini inasema wanawake wawili wamekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Rand million 42.6 kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kukamatwa katika mpaka wowote wa nchi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyoripotiwa na shirika la habari la Africa Kusini SABC siku ya Ijumaa (July 5), msemaji wa South African Revenue Services (SARS) Marika Muller amesema, wanawake hao waliowasili na ndege kutoka Tanzania, walikutwa na mabegi 6 makubwa yaliyojaa madawa (crystal meth) yenye thamani ya Rand 42.6 million ambayo ni sawa na zaidi ya billion 6 ya Tanzania.


Muller aliendelea kusema baada ya mizigo yao kuanza kukaguliwa ndipo timu ya maafisa uhamiaji iligundua kilo karibia 150 za madawa katika mizigo yao, kiasi ambacho ndio kikubwa kuwahi kukamatwa kama mzigo mmoja katika mpaka wowote wa Africa Kusini.


“When searching their luggage which was six large bags of black holdall bags, the customs team found just less than 150 kilos of crystal meth that is what we also call Tik in South Africa.

Those drugs are valued at R42.6 million which makes it the single largest seizure by the SARS customs team at any border in South Africa.” Alisema Muller.

GUNIA MOJA NI KILO NGAPI?
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Wewe umetusaliti...tupo tuna andamana apa ubalozi wa Canada kudai ndege yetu...Kama vipi waondoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…