Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Hivi unajua madeni ambayo yanatuletea shida Tanzania yana umri gani?
Yanawezekana mengine ni ya enzi ya Mhe.Mkapa au nyuma yake ila inayodaiwa ni nchi siyo mtu kwa hiyo aibu ni ya Taifa .yaani naumia sana kuona nchi yangu inadhalilishwa na mtu mmoja kwa deni ambalo tuna uwezo wa kulilipa.
 
Lakini hii serikali yetu inakwama wapi sehemu moja hiyohiyo zinakamatwa ndege zaidi ya mbili na bado unajipeleka. Ni ujinga.

Kwaiyo ndege yenu iruke dar es salaam na kule chato tu enn
 
Nasikitika jambo moja tu: waziri wanaonekana kuinyoshea kidole serikali ya Canada! Methinks this is unfair kwa mtu mwenye upeo tena Profesa wa sheria. Hili ni suala la mtu binafsi anajaribu kutumia sheria kupata haki. I stand to be corrected but I think this has nothing to do with government of Canada.
 
Back
Top Bottom