Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Wakulima hawapangiwi!
....tena ata akiiuza kwa mnada atakiwi kupangiwa bei 😁😁😁 hii zamu ya wakulima kunenepa! Na mie mwaka huu nitalima mchicha poli wakinizengua nakamata meli 🤣🤣
 
Itawasili tuuu,
maana haya madeni si ya JPM aliyesababisha. Kama vile yule mkulima kibabu alivyoikamata ndege yetu. Hamjitambui ndiyo maana kwenu kila baya linaloipata Tanzania ni furaha kwenu.
Haya mabaya mengine tunajitakia wenyewe,kwa nini tusilipe madeni ya watu kulingana na makubaliano yaliyoafikiwa tuachane na usumbufu usio wa lazima?
 
Kule South Africa ni Africa na Tabia zao ni mbovu walipokea Rushwa wakaachia Ndege lakini hapa Canada hawana ujinga huo ni haki bini haki
Hivi mkuu unajisikiaje kudanganya uma wa watanzania ambao wanasoma hiki ulichoandika hapa JF. Jitathmini mkuu kabla ya kuandika uongo.
 
Chadema kama kweli mliongea hili Basi Ni wazi kuwa mnaendeshwa kwa hisi zaidi, na hapo ni ishara kubwa hamna utaasisi imara.
Acha ufala wewe kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa mapungufu yake yote pasipo kubagua au kuacha chochote, usiwapangie wapinzani cha kukosoa
 
Hivi mkuu unajisikiaje kudanganya uma wa watanzania ambao wanasoma hiki ulichoandika hapa JF. Jitathmini mkuu kabla ya kuandika uongo.
South Africa ni Africa Tabia zao ni za kiafrika kama ulikuwa hujui, hakuna uongo hapo
 
Kama mliwahonga majaji wa south mkashinda(rejea kesi ya marehemu masogange aliyekamatwa na gunia la sembe south africa na akaachiwa huru), Majaji wa Canada hawaongeki ,jiandaeni kulipa deni.
 
Huyo mkulima alivyo kichaa msishangae akija kufungua kesi na hapa Tz ndege ikapigwa ban either JNIA or KIA.EXTRA:ss mhe waziri analalamika kwamba Canada wanazuia ndege daily kama vp wabadili soko cjamuelewa vzr hapa ndugu wajumbe 😂😂😂.JAMBO NA VIJAMBO..🚶🏿🚶🏿🚶🏿
Dawa ya Deni ni kulipa siyo ubabe wenye gharama kubwa kuliko Deni
 
Rais alivyo mkarimu anaweza. Akamuachia huyo mkulima hako kabombadia na akamuongezea kidrimu laina kimoja
Nyio hamuon anavyogawa majengo na minoti kama njugu huko barabaran
 
assadsyria3,
Kabudi kama unajiheshimu na kuiheshimu taaluma yako jiuzulu tu kutoka utawala huu kuliko kukomaa kutekeleza maagizo ya JPM asiyeshaurika. Siwezi kusema unamshauri vibaya Jiwe kwa vile wewe ni mbobezi ila unalazimika kutumia hata sababu za uwongo kubariki maamuzi na fikra za kijinga za Jiwe.

Kabudi ni Prof wa Sheria mbobezi unajuwa kabisa kuwa Canada ni mwanachama wa Commonwealth hivyo inaruhusiwa kutekeleza/ kukazia hukumu ya Mahakama ya Mwanachama yeyote.
 
Back
Top Bottom